Hongera Simba SC kwa kushinda ngao ya jamii 2023/2024

DK Mweluvu

Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
88
Reaction score
135
Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024

Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba

Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.

Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii

Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget

Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.

Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote

Ni mimi
Mcha-MBUZI
 
Maneno mengi ya kujitapa ayana nafasi kwa sasa, Yanga awana porojo wanacheza mpira uwanjani na sio kelele
 
Muda utazungumzaa mkuu Kaa Kwa kutulia kdg...
 
Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024

Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba

Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.

Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii

Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget

Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.

Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote

Ni mimi
Mcha-MBUZI
Hongera Kwa kuchukua kombe
 
Back
Top Bottom