Hongera Simba SC kwa kushinda ngao ya jamii 2023/2024

Duuu, anyways kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria.
 
Ukiisema azam mbovu, manake umeidharau yanga uliyofichua udhaifu wa azam....binafsi wako vzr sn sema wamekutana na timu bora, hawa azam muwatukane mkicheza nao nyie...sisi tunaona ni timu ngumu sn japo tumeifunga
 
Serikali ina mzigo mkubwa sana kufuga watu kama nyie ndiyo maana mnamchanganya mama yetu, ukamatwe kwa ramli chonganishi na kutoshirikisha wenye akili.
 

Una lazimisha uonekane na wewe ni mtabiri [emoji23][emoji23]
 
Umetoroka Mirembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…