DK Mweluvu
Member
- Mar 3, 2020
- 88
- 135
- Thread starter
- #21
UmbwaPumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmbwaPumbavu
Safi mwalimuHongera Kwa kuchukua kombe
Ukalalwe sasaMental depression is real!
Ilo ndio la msingiDuuu, anyways kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria.
Serikali ina mzigo mkubwa sana kufuga watu kama nyie ndiyo maana mnamchanganya mama yetu, ukamatwe kwa ramli chonganishi na kutoshirikisha wenye akili.Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024
Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba
Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.
Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii
Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget
Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.
Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote
Ni mimi
Mcha-MBUZI
Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024
Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba
Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.
Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii
Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget
Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.
Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote
Ni mimi
Mcha-MBUZI
SanaBange uwa mbaya sana basi tu binadam wabishi sanaaa
Umetoroka Mirembe?Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024
Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba
Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.
Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii
Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget
Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.
Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote
Ni mimi
Mcha-MBUZI
Siba Guvu moyaGuvu moja
Si mliniita mvuta bangi kiko wapi sasa?
Wakikujibu ni tag[emoji1787]Si mliniita mvuta bangi kiko wapi sasa?