Hata mimi japo nilikuwa mdogo lakini iliniuma sana.Nature alionjeshwa akapagawa...Sinta was like 'imetosha chapa lapa'.....inasemekana wakati anaandika 'inaniuma sana' alikuwa anatokwa machozi mfululizo.
Sidhani mama huyu hiyo PGD ni ya diplomasia na itakua kachukulia Kurasini ,labda Masters ni ya kitu kingine lakini sio international relationsIle ni MA International Relations and Diplomacy. hii PGD ni from Ustawi Wa Jamii (kama nakumbuka vizuri)
Education is sexy
INTERNATIONAL RELATIONSHIP NI KITU GANI ???Na Wewe Mhaya ( Mtani ) Wangu Unanitia Aibu Bhana. Kwani Huwezi Kuwa Una Masters Degree Yako Lakini Ukafanya Post Graduate Diploma Ya Kitu Fulani? Mbona Hii Ni Very Normal Duniani? Mbona Hata Mimi November Mwaka Huu Nahitimu Rasmi Na M.A. Yangu Ya MASS COMMUNICATION Lakini Pia Sasa Nipo Mwaka Wa Mwisho Nafanya PGD Ya INTERNATIONAL RELATIONSHIP Na HAKIHARIBIKI Kitu? Mtani Wangu Leo Umeniangusha Kweli Na Ngojea Rafiki Yako Nifah Auone Huu UPOPOMA Wako.
M. A International Relations and Diplomacy aliandika mwenyewe kwenye profile ya blog yake, na PGD nimeona mahali now ni Management of Foreign Relations. Let's wait kama kuna mtu mwenye uhakika zaidi atasema ni wapiSidhani mama huyu hiyo PGD ni ya diplomasia na itakua kachukulia Kurasini ,labda Masters ni ya kitu kingine lakini sio international relations
Sasa Nipo Mwaka Wa Mwisho Nafanya PGD Ya INTERNATIONAL RELATIONSHIP
halafu nasikia huyo rutashobolwa ni mwanasheria sijui wakili...sasa alivyo kilaza hivyo sijui hizo kesi anasimamiaje teh teh tehMkuu huyo unayemjibu ndio vichwa vinavyoitwa vyenye akili kubwa pale Lumumba. Sasa kama anasema hivyo utakuwa umepata majibu uwezo wake ukoje na wa hao wanaomuona genius
mama ubaya nae angerudi shule angekua na Phd sasa hivi
Mba aitoe wapi bana wewe....Ni kweli havina ugomvi lakini nilichotaka kujua ni kama ni kweli ana MBA.
Teh Teh labda ya international relation ship kama ya GentacMba aitoe wapi bana wewe....
Uganda alirudi na mtoto tu
Teh Teh huyo bingwa wa chai baridi asiwasumbue ...Duh, hii PGD ya international realationship ni kiboko.
INTERNATIONAL RELATIONSHIP NI KITU GANI ???
Kwani mkuu ukiondoa UDOM ambayo inatoa bachela ya IR hivyo vyengine vinatoa iyo PGD?maana nnavojua hiyo PGD hutolewa pale chuo cha diplomasia kilichopo kurasini...naomba elimu zaidi tafadhali.Kama hiyo PGD yake ni ya UDSM, MZUMBE, SAUTI, (UDOM kwa mbaaali) shkamoo sinta.
mm nimesikia ww chatako lakn uko smarthalafu nasikia huyo rutashobolwa ni mwanasheria sijui wakili...sasa alivyo kilaza hivyo sijui hizo kesi anasimamiaje teh teh teh
Na Wewe Mhaya ( Mtani ) Wangu Unanitia Aibu Bhana. Kwani Huwezi Kuwa Una Masters Degree Yako Lakini Ukafanya Post Graduate Diploma Ya Kitu Fulani? Mbona Hii Ni Very Normal Duniani? Mbona Hata Mimi November Mwaka Huu Nahitimu Rasmi Na M.A. Yangu Ya MASS COMMUNICATION Lakini Pia Sasa Nipo Mwaka Wa Mwisho Nafanya PGD Ya INTERNATIONAL RELATIONSHIP Na HAKIHARIBIKI Kitu? Mtani Wangu Leo Umeniangusha Kweli Na Ngojea Rafiki Yako Nifah Auone Huu UPOPOMA Wako.