Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

hongera zake sinta..ila huyu mpare ana dongo zuri hakizeekagi kila siku anazidi kuwa kijanaa...
 
Kuna mtu alisema humu k ana Masters (MBA)! Saasa hiyo PGD yanini tena?
Halafu ni chuo gani?
Ile ni MA International Relations and Diplomacy. hii PGD ni from Ustawi Wa Jamii (kama nakumbuka vizuri)

Education is sexy
 
Kuna mtu alisema humu k ana Masters (MBA)! Sasa hiyo PGD yanini tena?
Halafu ni chuo gani?

Na Wewe Mhaya ( Mtani ) Wangu Unanitia Aibu Bhana. Kwani Huwezi Kuwa Una Masters Degree Yako Lakini Ukafanya Post Graduate Diploma Ya Kitu Fulani? Mbona Hii Ni Very Normal Duniani? Mbona Hata Mimi November Mwaka Huu Nahitimu Rasmi Na M.A. Yangu Ya MASS COMMUNICATION Lakini Pia Sasa Nipo Mwaka Wa Mwisho Nafanya PGD Ya INTERNATIONAL RELATIONSHIP Na HAKIHARIBIKI Kitu? Mtani Wangu Leo Umeniangusha Kweli Na Ngojea Rafiki Yako Nifah Auone Huu UPOPOMA Wako.
 
Teh Teh wewe muongo wa kutupwa!Hongera sana

Naona lengo la comment umelikoleza kabisa!
 
Last edited:
Teh teh teh...PGD ya International Relationship!
..popoma kiboko!
 
Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wa Juma Nature alikuwa busy akipiga kitabu ambapo sasa hivi amegraduate postgraduate ya diplomasia.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamempongeza Sintah kwa uamuzi wake huo wa kurudi shule tofauti na wakongwe wenzie ambao miaka nenda rudi wapo vile vile.

View attachment 316756
Chanda chema huvikwa Pete hongera Sintah japo deki uliyopiga itakugharimu uzeeni
 
tafadhali urudi kwenye maigizo maana eti nao wakina wema wanajiita ndo mastaa grade A wa bongo movie
 
tafadhali urudi kwenye maigizo maana eti nao wakina wema wanajiita ndo mastaa grade A wa bongo movie
mastaa wenye PHD za umalaya bongo movie, bora sintah kaamua kujiendeleza kielimu, nilikua namuona mburula ila sasa hiv heshima kwake
 
mastaa wenye PHD za umalaya bongo movie, bora sintah kaamua kujiendeleza kielimu, nilikua namuona mburula ila sasa hiv heshima kwake
Kwani ulikuwa hujui kama ana Masters ya mahusiano ya kimataifa?
 
Rudi mama kwenye kiti chako cha umalkia wa uigizaji , maana kiti chako kinavumbi na bado hakijakaliwa
 
Back
Top Bottom