Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

.... International relationship ndio nini hio ndugu Popoma?
.....Halafu unasoma mass communication lakini unachanganya herufi kubwa na ndogo?

Tokea Jana Ndiyo Nilithibitisha Kuwa Hakika ELIMU Ni Tatizo Tanzania Na Niliwashangaa Watu Wengi Kuanza Kuuliza INTERNATIONAL RELATIONSHIP Ndiyo Nini Halafu Kuna POPOMA Mwingine Akanibishia Kuwa Huwa Hakuna PGD Ya Hiyo Kozi Na Nimesikitika Tena Asubuhi Hii Na Wewe POPOMA Kuingia Ktk Mtego Ule Ule Wa Kundi La Ma " LUMPEN " Mliotukuka. Nilichogundua Ni Kwamba Wasomi Wengi Wa Kitanzania Mnaishi Kwa Mazoea Na Huwa Hampendi Kufanya UTAFITI Mdogo Tu. Kuna Vyuo Vingine Hiyo Kozi Huiita au Huiandika FOREIGN RELATIONS Lakini Pia Kuna Vyuo Vikuu Vingine Kozi Hiyo Hiyo Huiita INTERNATIONAL RELATIONSHIP Japo Najua Nyie Mlitaka Niandike INTERNATIONAL RELATIONS Lakini Kama Wewe Ni " Wordsmith " Ktk Lugha Nzima Ya Kiingereza Nilivyoandika Ile Jana Wala Usingenishangaa Ila Tatizo Kubwa La Watanzania Wengi Ni " Language Barrier ". Vyuo Vingi Vya South Africa, Canada, UK Na USA Wanatoa Kozi Hiyo Na Huiit Hivyo Hivyo. Kurudi Ktk Hoja Yako Ya Pili Kuwa Ni Kwanini Sasa Nafanya M.A. Yangu Ya MASS COM Lakini Naandika Hivi Nadhani Utakuwa Ni Mgeni Kwangu Na Pia Nina Wasiwasi Na IQ Yako. Ninachokifanya Ni Kutengeneza Tu Trademark Yangu Ili Nijitofautishe Na Wengine Na Labda Nikuambie Tu Uandishi Wangu Huu Huu Wa Kila Herufi Kuanza Na Herufi Kubwa Umeweza Kuwavutia Wengi Na Wapo Baadhi Yao Walioanza Kuuiga Kama Ambavyo Members Wengi Sasa ( Wewe Ukiwemo ) Mlivyolipokea Vizuri Sana NENO MSAMIATI Langu Pendwa La " POPOMA " Na Sasa Linatumika Si Tu Humu JF Bali Hata Nikiwa Sehemu Mbalimbali Humu Maofisini Huwa Nasikia Watu Wakiitana Hivyo. Jaribuni Kidogo Watanzania Kuwa Mnafikiri " Outside The Box " Mtaiva Na Kuwa Vizuri Upstairs.
 
Msihofu muda si mrefu kutoka sasa atakuja kuwa Mheshimiwa Waziri wetu wa Habari, Vijana na Utamaduni kama si Mbunge.
 
Kwani ulikuwa hujui kama ana Masters ya mahusiano ya kimataifa?
nilisikia ila mange alimchamba akasema hana cha masters wala certificate nikajua kweli kumbe sintah ni jembe aiseh, ila yule msomi toka kitambo, nakumbuka mwanzon mwa mwaka elfu mbil alikua anasomea mambo ya uandishi wa hbar sijui iliishia wapi
 
Mkuu mbona una LLB ya St. Augustine lakini tumepiga kimya? Ona sasa nimekusema!
 
Tokea Jana Ndiyo Nilithibitisha Kuwa Hakika ELIMU Ni Tatizo Tanzania Na Niliwashangaa Watu Wengi Kuanza Kuuliza INTERNATIONAL RELATIONSHIP Ndiyo Nini Halafu Kuna POPOMA Mwingine Akanibishia Kuwa Huwa Hakuna PGD Ya Hiyo Kozi Na Nimesikitika Tena Asubuhi Hii Na Wewe POPOMA Kuingia Ktk Mtego Ule Ule Wa Kundi La Ma " LUMPEN " Mliotukuka. Nilichogundua Ni Kwamba Wasomi Wengi Wa Kitanzania Mnaishi Kwa Mazoea Na Huwa Hampendi Kufanya UTAFITI Mdogo Tu. Kuna Vyuo Vingine Hiyo Kozi Huiita au Huiandika FOREIGN RELATIONS Lakini Pia Kuna Vyuo Vikuu Vingine Kozi Hiyo Hiyo Huiita INTERNATIONAL RELATIONSHIP Japo Najua Nyie Mlitaka Niandike INTERNATIONAL RELATIONS Lakini Kama Wewe Ni " Wordsmith " Ktk Lugha Nzima Ya Kiingereza Nilivyoandika Ile Jana Wala Usingenishangaa Ila Tatizo Kubwa La Watanzania Wengi Ni " Language Barrier ". Vyuo Vingi Vya South Africa, Canada, UK Na USA Wanatoa Kozi Hiyo Na Huiit Hivyo Hivyo. Kurudi Ktk Hoja Yako Ya Pili Kuwa Ni Kwanini Sasa Nafanya M.A. Yangu Ya MASS COM Lakini Naandika Hivi Nadhani Utakuwa Ni Mgeni Kwangu Na Pia Nina Wasiwasi Na IQ Yako. Ninachokifanya Ni Kutengeneza Tu Trademark Yangu Ili Nijitofautishe Na Wengine Na Labda Nikuambie Tu Uandishi Wangu Huu Huu Wa Kila Herufi Kuanza Na Herufi Kubwa Umeweza Kuwavutia Wengi Na Wapo Baadhi Yao Walioanza Kuuiga Kama Ambavyo Members Wengi Sasa ( Wewe Ukiwemo ) Mlivyolipokea Vizuri Sana NENO MSAMIATI Langu Pendwa La " POPOMA " Na Sasa Linatumika Si Tu Humu JF Bali Hata Nikiwa Sehemu Mbalimbali Humu Maofisini Huwa Nasikia Watu Wakiitana Hivyo. Jaribuni Kidogo Watanzania Kuwa Mnafikiri " Outside The Box " Mtaiva Na Kuwa Vizuri Upstairs.

Hahaha. Ndugu POPOMA (kwa sasa LUMPEN 😛) hakuna kozi inaitwa international relationship! Unless labda chuo kipo huko kwenu chigali! Ndio maana hata mama mheshimiwa mmoja kutoka CUF, ambaye nahisi umesoma naye 'chigali', aliposema bungeni kuwa amesomea kozi hiyo ya "international relationship" watanzania walimcheka na kumnyima ubunge wa EAC 😀. Hebu weka link ya chuo hata kimoja tu kinachotoa kozi inayoitwa hivyo tumalize mjadala kiutu uzima.
 
Alikuwa anandika kuwa anasoma na akiwa na mitihani aliandika.

Hongera kwake kumaliza, nilisahau na blog yake ipo ngoja nikaichungulie nina miezi sijaenda.
 
Hahaha. Ndugu POPOMA (kwa sasa LUMPEN 😛) hakuna kozi inaitwa international relationship! Unless labda chuo kipo huko kwenu chigali! Ndio maana hata mama mheshimiwa mmoja kutoka CUF, ambaye nahisi umesoma naye 'chigali', aliposema bungeni kuwa amesomea kozi hiyo ya "international relationship" watanzania walimcheka na kumnyima ubunge wa EAC 😀. Hebu weka link ya chuo hata kimoja tu kinachotoa kozi inayoitwa hivyo tumalize mjadala kiutu uzima.

China, Malaysia Na Venezuela. Kwa Ushahidi Kamili Google Ukivikosa Njoo Unihukumu.
 
Hiyo ndio link? Na kati ya hivyo wewe umesomea cha nchi gani? Acha ULUMPEN, weka link, how hard can it be?
 
Hata Nikikuambia Sidhani Kama Itakusaidia Na Sana Sana Nitakutia Tu Machungu Kwakuwa Wewe Upo Huko Bongo Unahangaika Huku Wenzako Tunakula Tu Kipupwe. Halafu ELIMU Ya Huku Nilipo Hatujafundishwa KUTAFUNIWA Kila Kitu Kama Mlivyozoea Ninyi Huko Na Ndiyo Maana Kila Mara Unanilazimisha Nikuwekee Link Wakati ELIMU Yako Ingekuwa Imekusaidia Tu Ungesha Google Tu Ili Ujiridhishe Kisha Uje Umfahamishe Na Yule POPOMA Mwenzako Mwingine Ambaye Keshaishiwa Bundle Na Sasa Nadhani Anashughulikiwa " Ukutani " Angalau Apate Hela Kidogo Anunue Bundle Ili Arudi Kuliendeleza Na " Taita " La Kitutsi Humu.
 
halafu nasikia huyo rutashobolwa ni mwanasheria sijui wakili...sasa alivyo kilaza hivyo sijui hizo kesi anasimamiaje teh teh teh
Mie nimesikia ni promoter wa Bongo Movies kuanzie enzi za Marehemu Kanumba.
 
Kama hiyo PGD yake ni ya UDSM, MZUMBE, SAUTI, (UDOM kwa mbaaali) shkamoo sinta.
Hapo ondoa SAUT yenye vicollege visivyo na sifa kila mkoa yaani ni bora kabisa na Tumaini ila ulipaswa uiweke SUA,Muhimbili na Ardhi.
 
Hata Nikikuambia Sidhani Kama Itakusaidia Na Sana Sana Nitakutia Tu Machungu Kwakuwa Wewe Upo Huko Bongo Unahangaika Huku Wenzako Tunakula Tu Kipupwe. Halafu ELIMU Ya Huku Nilipo Hatujafundishwa KUTAFUNIWA Kila Kitu Kama Mlivyozoea Ninyi Huko Na Ndiyo Maana Kila Mara Unanilazimisha Nikuwekee Link Wakati ELIMU Yako Ingekuwa Imekusaidia Tu Ungesha Google Tu Ili Ujiridhishe Kisha Uje Umfahamishe Na Yule POPOMA Mwenzako Mwingine Ambaye Keshaishiwa Bundle Na Sasa Nadhani Anashughulikiwa " Ukutani " Angalau Apate Hela Kidogo Anunue Bundle Ili Arudi Kuliendeleza Na " Taita " La Kitutsi Humu.
we jamaa kwa kamba haujambo, upo nje ya nchi ya wapi? Kigogo?
 
China, Malaysia Na Venezuela. Kwa Ushahidi Kamili Google Ukivikosa Njoo Unihukumu.

Hahaha Mkuu kinachonifurahisha ni namna Sr. POPOMA unavyoupopoa za uso UPOPOMA wa Jr. POPOMAs kwa kujiamini KIPOPOMA

Kudos POPOMA Sr
 
Hata Nikikuambia Sidhani Kama Itakusaidia Na Sana Sana Nitakutia Tu Machungu Kwakuwa Wewe Upo Huko Bongo Unahangaika Huku Wenzako Tunakula Tu Kipupwe. Halafu ELIMU Ya Huku Nilipo Hatujafundishwa KUTAFUNIWA Kila Kitu Kama Mlivyozoea Ninyi Huko Na Ndiyo Maana Kila Mara Unanilazimisha Nikuwekee Link Wakati ELIMU Yako Ingekuwa Imekusaidia Tu Ungesha Google Tu Ili Ujiridhishe Kisha Uje Umfahamishe Na Yule POPOMA Mwenzako Mwingine Ambaye Keshaishiwa Bundle Na Sasa Nadhani Anashughulikiwa " Ukutani " Angalau Apate Hela Kidogo Anunue Bundle Ili Arudi Kuliendeleza Na " Taita " La Kitutsi Humu.
Wapi huko kwenye kipupwe kusikotajika? Umeshindwa kuweka chuo hata kimoja? We tukana weee lakini kwa vile umeshindwa kuweka link, UMESHINDWA! Halafu lile blogu lako vipi siku hizi mbona huliendelezi?
 
Hata Nikikuambia Sidhani Kama Itakusaidia Na Sana Sana Nitakutia Tu Machungu Kwakuwa Wewe Upo Huko Bongo Unahangaika Huku Wenzako Tunakula Tu Kipupwe. Halafu ELIMU Ya Huku Nilipo Hatujafundishwa KUTAFUNIWA Kila Kitu Kama Mlivyozoea Ninyi Huko Na Ndiyo Maana Kila Mara Unanilazimisha Nikuwekee Link Wakati ELIMU Yako Ingekuwa Imekusaidia Tu Ungesha Google Tu Ili Ujiridhishe Kisha Uje Umfahamishe Na Yule POPOMA Mwenzako Mwingine Ambaye Keshaishiwa Bundle Na Sasa Nadhani Anashughulikiwa " Ukutani " Angalau Apate Hela Kidogo Anunue Bundle Ili Arudi Kuliendeleza Na " Taita " La Kitutsi Humu.
mkuu km kweli si umpe link huyo jamaa ili kumdhibitishia ww msomi wa nje ya nchi sio hapa wamezoea kutafuniwa.
 
Back
Top Bottom