Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo, Simba, Twiga, Nyati/Mbogo na Faru.
Lilipoandaliwa pambano kati ya Sisimizi na wanyama hao, vilitokea visingizio ikaonekana wawili kati yao hawatashiriki pambano hilo, lakini hata Refa naye aliwakingia kifua. Refa alituahidi wanyama watatu kati yao waliobaki wangeshiriki pambano hilo. Kwa bahati mbaya sana, inaonekana wanyama wawili tena kati ya watatu waliokuwa wamebaki, wamekimbia, hawapo serengeti wala mikumi. Inasemekana wamekwenda kufichama mbali nje ya mbuga zetu.
Amebaki mnyama mmoja kati yao. Hatujui, huyu naye atakimbia pambano?
Pongezi nyingi ziende kwa Sisimizi shujaa. Big up Sisimizi shujaa, never turn back.