Hongera Startimes kwa la Liga

Hongera Startimes kwa la Liga

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ninafarijika kwa Startimes kutuletea La Liga, ivo tu.
 
Hongera wenye startimes hakika mtafaidi, mimi nasikitika kwa Azam kuachana na La Liga yenye ushindani na kwenda ligi ya timu moja Bundesliga
 
Azam waongo! Eti sababu ya kuachana na Laliga ni kwa sababu ya kupoteza mvuto baada ya Ronaldo kuhamia Juventus!!

Si wangesema tu ukweli kama walishindwa kufikia dau la kurusha mechi za hiyo ligi!! Bundesliga haina kabisa mvuto. Laliga ilishazoeleka kwa watazamaji.
 
Awa azam wakionesha game ya usiku yaani unaishia kuumia macho wanashindwa ata kubalance mwanga.
 
Hongera wenye startimes hakika mtafaidi, mimi nasikitika kwa Azam kuachana na La Liga yenye ushindani na kwenda ligi ya timu moja Bundesliga
😵😵😵.
 
Back
Top Bottom