Nilipata nafasi ya kupita kuangalia chuo cha mafunzo cha Swissport pale Nyerere Road kwa ajili ya mwanangu anayemaliza chuo mwaka huu - nilishangaa kuona madarasa ya kisasa yenye viyoyozi, computer n.k. Hongera wana Swissport bila shaka mtaongeza ujuzi kwa vijana wetu ambao wanahangaika kupata kazi