Hongera swissport kwa kuanzisha chuo cha mafunzo

Hongera swissport kwa kuanzisha chuo cha mafunzo

Chereko

Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
54
Reaction score
16
Nilipata nafasi ya kupita kuangalia chuo cha mafunzo cha Swissport pale Nyerere Road kwa ajili ya mwanangu anayemaliza chuo mwaka huu - nilishangaa kuona madarasa ya kisasa yenye viyoyozi, computer n.k. Hongera wana Swissport bila shaka mtaongeza ujuzi kwa vijana wetu ambao wanahangaika kupata kazi
 
Tatizo lipo kwenye mtaala na ajira, sio vyumba vya kusomea. kama una computer na kiyoyozi halafu kila siku hakuna mwalimu, wanafunzi wanachat facebook, itasaidia nini? Mimi nitawasifia kwa kuona wanafunzi wanakamilisha syllabus baada ya kumaliza mafunzo, hilo la ajira haliwahusu sana wao!
 
Kiko wapi hiki chuo,kama inawezekana kwa ufafanuzi zaidi naomba. Kama websites na location details
 
chuo kipo eneo la barabara ya nyerere ukitokea pugu baada ya mataa ya TAZARA baada ya jengo la QUALITY CENTRE kituo cha daladala kinaitwa mtava
 
habari njema hizi!!

Suala la ada ni muhimu likapewa kipaumbele ili mtanzania wa kawaida aweze kumudu kusoma katika chuo hiki!!
 
Wanatoa kozi gani na kwa level zipi?
 
Back
Top Bottom