Tatizo lipo kwenye mtaala na ajira, sio vyumba vya kusomea. kama una computer na kiyoyozi halafu kila siku hakuna mwalimu, wanafunzi wanachat facebook, itasaidia nini? Mimi nitawasifia kwa kuona wanafunzi wanakamilisha syllabus baada ya kumaliza mafunzo, hilo la ajira haliwahusu sana wao!