Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hongereni wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kiujumla kwa kazi nzuri ya mliifanya hadi kufika hapa!
Si kazi rahisi ni kujitoa kwa wachezaji na kujipathamani wao na kujiuza katika soka zaidi. Ule Usimba na Uyanga aupo ndani ya wachezaji wote wanajitoa kufanya walichotumwa na kocha wao na kuipeperusha bendera ya Tanzania.
Soma Pia: FT' 2-1 Madagascar| Mechi ya 3 kwa Taifa Stars CHAN 2024 kundi "B" | Mkapa Stadium | Agosti 9, 2025 | Saa 2:00 Usiku
Kuna wale watakaojitokeza na kubeza kwamba kundi B limekuwa linavibonde wengi, lakini si kweli Taifa Stars kwa sasa wamekuwa zaidi na hii inatokana na ligi yetu kuwa katika ligi kubwa 5 Afrika lakini pia na vilabu vyetu kama Simba na Yanga kufanya vizuri pia kwenye ngazi ya michuana ya Caf ngazi ya vilabu