Hongera Tanzania yote yawezekana

Hongera Tanzania yote yawezekana

uchapakazi

If you guys are hard workers as most of you claim.....level ya umaskini, njaa, maisha mabovu visinge kuwepo Kenya. Wengi wenu chakula ni inshu, na wanaopata chakula ni kibovu, yaani, Ugali mbovu na sukuma wiki, nyumba nyingi Kenya zimejengwa na mabati ya debe, usafiri ni matatu ambazo nyingi zilitangazwa zina Kunguni, yaani kunguni mapaka kwenye usafiri. halafu talalila nyingi mitandaoni!
 
If you guys are hard workers as most of you claim.....level ya umaskini, njaa, maisha mabovu visinge kuwepo Kenya. Wengi wenu chakula ni inshu, na wanaopata chakula ni kibovu, yaani, Ugali mbovu na sukuma wiki, nyumba nyingi Kenya zimejengwa na mabati ya debe, usafiri ni matatu ambazo nyingi zilitangazwa zina Kunguni, yaani kunguni mapaka kwenye usafiri. halafu talalila nyingi mitandaoni!

oya, hapa tupo kumpongeza ndugu yako kwa kuwa namba tano kwenye Marathon, NAMBA TANO, lol, unatutoa kwenye mada aise, hatuko kwenye makaazi ama miundo msingi, kwa sababu hapo ndipo kabisa hamtuwezi, tuko na challenges kibao lakini upande wa real estate, ndugu yangu Tanzania iko nyuma sana, labda mbishane na Uganda. Hio ya chakula kuna jamaa amepachika video hapo unaweza chungulia tu, baada ya miaka mitatu tutakua tunawauzia nyie chakula, tuna mikakati ya kumaliza tatizo la chakula kabisa. In general, you play and will always play second fiddle to us in all sectors except that of natural resources, hapo mungu alijua nyie vilaza akawapa madini kwa sana, tumewashinda kwenye nyanja zote unazofikiria na gap bado tunazidi kuongeza. Na tutazidi kujisifia hapa ili kuwakumbusha hamna lolote, roho mbaya tu.
 
oya, hapa tupo kumpongeza ndugu yako kwa kuwa namba tano kwenye Marathon, NAMBA TANO, lol, unatutoa kwenye mada aise, hatuko kwenye makaazi ama miundo msingi, kwa sababu hapo ndipo kabisa hamtuwezi, tuko na challenges kibao lakini upande wa real estate, ndugu yangu Tanzania iko nyuma sana, labda mbishane na Uganda. Hio ya chakula kuna jamaa amepachika video hapo unaweza chungulia tu, baada ya miaka mitatu tutakua tunawauzia nyie chakula, tuna mikakati ya kumaliza tatizo la chakula kabisa. In general, you play and will always play second fiddle to us in all sectors except that of natural resources, hapo mungu alijua nyie ****** akawapa madini kwa sana, tumewashinda kwenye nyanja zote unazofikiria na gap bado tunazidi kuongeza. Na tutazidi kujisifia hapa ili kuwakumbusha hamna lolote, roho mbaya tu.

Hakuna la maana mlilolifanya ingawa mmekua mkipata FDI since mlipopata uhuru na pia hamjui vita ni nini au athari za vita zikoje but still misosi mibovu kama ugali matembele or sukumawiki ni inshu kwa wengi wenu.

real estate? Kweli? Sehemu kubwa ya makazi kenya ni majalala, entire northern side kwa wasamburu, pokot na vilaza wengine wanashea chumba na mbuzi na nguruwe.

Nairobi makazi mazuri wanaishi waindi na wazungu, malofa mko kibera, ziwa la ng'ombe, baba dogo, mathare, kariobangi na pande zingine zisizo rasmi na hatari kwa maisha ya mwanadam.
 
Kafika namba tano, hapo amejaribu, labda aishi Kenya kwa muda ili apate uzoefu. Halafu naona kama huyu dogo ni jamaa wa Arusha, watu wa pale wana hulka za Kikenya na akiendelea hivi atakuja ibuka na medali. Anyway hongera zake, kumaliza hizo kilomita zote na pia kubaki ndani ya tano bora ni jambo la kutia moyo, anafaa kutiwa hamasa na kuungwa mkono, apokelewe kishujaa ili iwaamshe na wengine wanaotaka kujiunga na riadha......ila nina mashaka na Bongo, sidhani hata kama wana muda naye.
Watu wapo busy ukuta, mambo ya riadha wameweka pembeni.
 
Watu wapo busy ukuta, mambo ya riadha wameweka pembeni.
Hehehe ila duh patakua shughuli. Afu Wabongo hamjazoea mizuka ya aina hii. Mjiandae kuchezea kichapo cha polisi.
 
Watu wa pale waligawanywa na mzungu, kaja na kuchora mpaka katikati na ndugu na kuita wa huku Mkenya na wa kule Mtanzania. Leo hii utakuta Mmaasai mjomba wake Mtanzania, shangazi Mkenya, binamu Mtanzania n.k.
Walichanganywa kweli kweli. Wamaasai wanaanzia Arusha na kuingia Narok, kajiado Kenya. Nenda pia kwa Wakuria au Wajaluo wa Tanzania pale Musoma na Wajaluo wa Kenya. Hawa watu wote walikua mandugu, mzungu kachora mpaka usioonekana kwa macho na kuanzia hiyo siku wanaonana kwa misingi ya nchi.
Wakenya wengi wanaoshonda katika riadha wana asili ya Tanzania, Mara na Arusha.
 
Nakuona kwa mbali unavyotaka kuileta hiyo twist, jameni Dar na Mombasa kuna umbali mkubwa sana, 500km hamna undugu pale, naongea kuhusu watu wanaoishi mipakani. Kwa mfano nenda pale maeneo ya Taita Taveta Kenya na upande wa pili wa Tanzania uone wanavyochakarika Kikenya.....hehehehe.

Anyway, hii mada mnaigeuza wenyewe, mimi namualika yule jamaa aje akimbie na Wakenya. Yeye ametokea Arusha na kwa vile watu wa pale wana uzoefu mkubwa wa kuishi na Wakenya na wana undugu, hivyo hataona ugumu wowote na atahisi yupo nyumbani tu. Nina uhakika ndani ya miezi michache atakua ana uwezo wa kunyakua medali.
Mombasa na Tanga hiyo
 
Back
Top Bottom