Hongera Tanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hawa jamaa tunawaonea sana siku hizi...kila mahali, hata mademu zao tunajipigia. Cheki daimondi, kiba, ben pol, kingwendu, muhogo mchungu etc
Hadi kingwendu!!!!๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ aaaaahhh nimebaki mimi tu aisee
 
Hawa jamaa tunawaonea sana siku hizi...kila mahali, hata mademu zao tunajipigia. Cheki daimondi, kiba, ben pol, kingwendu, muhogo mchungu etc
Nishajipitia kama watatu miaka ya nyuma
 
Machali wa bongo ni wavivu sana kitandani.Hamna demu yeyote wa kikenya ataacha shughuli zake ili awe selina kuchezeana nywele
Unachekesha .. Binti wa Tajiri wenu mtengeneza via kwa Ben Poul. Joho kamtoa binti mzuri tu kwa Ali Kiba. Daimond kamchukuwa mtoto na Kesha zaa mtoto Boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ