Hongera Tanzania 😂😂😂

Hongera Tanzania 😂😂😂

Hawa jamaa tunawaonea sana siku hizi...kila mahali, hata mademu zao tunajipigia. Cheki daimondi, kiba, ben pol, kingwendu, muhogo mchungu etc
Hadi kingwendu!!!!😮😮 aaaaahhh nimebaki mimi tu aisee
 
Machali wa bongo ni wavivu sana kitandani.Hamna demu yeyote wa kikenya ataacha shughuli zake ili awe selina kuchezeana nywele
Unachekesha .. Binti wa Tajiri wenu mtengeneza via kwa Ben Poul. Joho kamtoa binti mzuri tu kwa Ali Kiba. Daimond kamchukuwa mtoto na Kesha zaa mtoto Boy.
 
Back
Top Bottom