Hongera Teddy Kalong aka TK such a wonderful family

Hongera Teddy Kalong aka TK such a wonderful family

what a lovely family; by the way who is Teddy?
 
Hongera Teddy kwa kupata mtoto mzuri wewe na mumeo.
 
teddymalaikacodyjojofamily.jpg

mpwa tuwekee na yako basi jamani kama aiko icu tuiandalie sanda kabisa
hongera dada teddy jamani embu wafungue hao waliokimbilia wazungu wanaogopa kupigwa mimba ati wanakula maisha kwanza
bigup sis uzazi kwanza bana
 
Huyu mara kaokoka mara sijui nini

sasa kuna kipindi alikuwa na bifu na yule wa Dubai...well...inaonekana yule wa Dubai mume ana mkwanza kuliko huyu maana kama bibie ananunua CL bila problem then pesa za mjengo zinalipa

naskia mwenyewe anahama Dubai mwisho wa mwezi huuu....
 
Back
Top Bottom