NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Si nyingine ni kariakoo dabi
Hatua hii imeongeza uaminifu, haki uwanjani, na kuimarisha hadhi ya ligi yetu kimataifa. Ni dalili njema kuwa soka la Tanzania linaelekea kwenye viwango vya juu zaidi
Lakini pia, ni wakati wa marefa wetu wa ndani kujifunza kwa bidii kutoka kwa hawa marefa wa kigeni — kuhusu nidhamu, maamuzi ya haraka, usimamizi wa mchezo na uwajibikaji.
Tuendelee kuwekeza katika ubora, haki na maendeleo ya mpira wetu!
NALIA NGWENA PAKOME ZUZWAA Sina Cha kuwadai Bodi ya Ligi na TFF, kwa hili nawapa heko na wanastahili pongezi kubwa hata Wahenga walisema "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"
Rasmi naungana na Wahenga Kuwapa hecko Bodi ya Ligi na Tff