mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Jobless hoyeeeeeHakika Klabu ya Simba ni kipenzi cha Watu,pamoja na kuhamasisha Simba Day kwa siku 3,sherehe kufanyika siku ya kazi Watu wenye Simba yao wakaujaza Uwanja wa Taifa na kuingiza jumla ya Sh.380 Mil.huku Timu ya Wananchi YANGA pamoja na makelele mengi wakaingiza Sh.280 Mil.Watanzania Simba ina Watu sio Wananchi.
Mliingiza watu 48 elfu takwimu zetu umeziona hukooo?Mtani mnakoelekea ndio mtafanya tuzidi kuamini ile kauli ya Rage (Mbumbumbu Fc) mana kila jambo kwenu ni habari. ๐
Wacha nigange ya Township Rollers Mtani. ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ
Mkuu punguza Hasira Simba ni Big Club ,niliwaagiza TFF wahesabuHayo mamilioni ulikabidhiwa wewe ukayahesabu au umesikia tu?
I love you baby plz ni pm tusemezane.. mi ni simba dumeSimba ni balaaa
Mtani mnakoelekea ndio mtafanya tuzidi kuamini ile kauli ya Rage (Mbumbumbu Fc) mana kila jambo kwenu ni habari. ๐
Wacha nigange ya Township Rollers Mtani. ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ
Kama kubwa mbona sponsorship deal zenu pesa ndogo? Jersey 600 m miaka miwili..Mo anaichafua Jersey kwa matangazo yake kwa 400m tu mwaka mmoja... Sportpesa tunajua Yanga wanapewa zaidiMkuu punguza Hasira Simba ni Big Club ,niliwaagiza TFF wahesabu
Mbona mnashindwa kuwalipa wachezaji mishahara yaoKama kubwa mbona sponsorship deal zenu pesa ndogo? Jersey 600 m miaka miwili..Mo anaichafua Jersey kwa matangazo yake kwa 400m tu mwaka mmoja... Sportpesa tunajua Yanga wanapewa zaidi
Sasa Yanga Sportpesa 1.1B,Taifa gas 1B na GSM Jersey 1.3 B..jumla 3.4B..endeleeni kupiga kelele Yanga masikini
Afu bado mnatembeza bakuli,Kama kubwa mbona sponsorship deal zenu pesa ndogo? Jersey 600 m miaka miwili..Mo anaichafua Jersey kwa matangazo yake kwa 400m tu mwaka mmoja... Sportpesa tunajua Yanga wanapewa zaidi
Sasa Yanga Sportpesa 1.1B,Taifa gas 1B na GSM Jersey 1.3 B..jumla 3.4B..endeleeni kupiga kelele Yanga masikini
Lipeni mishahara Yondan ,Dante wanafamilia wakililia malipo yao mnawaona wabaya ,lipeniKama kubwa mbona sponsorship deal zenu pesa ndogo? Jersey 600 m miaka miwili..Mo anaichafua Jersey kwa matangazo yake kwa 400m tu mwaka mmoja... Sportpesa tunajua Yanga wanapewa zaidi
Sasa Yanga Sportpesa 1.1B,Taifa gas 1B na GSM Jersey 1.3 B..jumla 3.4B..endeleeni kupiga kelele Yanga masikini
Wana nchi... Wenye nchi... Ccm ina wenyewe wana nchi[emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika Klabu ya Simba ni kipenzi cha Watu,pamoja na kuhamasisha Simba Day kwa siku 3,sherehe kufanyika siku ya kazi Watu wenye Simba yao wakaujaza Uwanja wa Taifa na kuingiza jumla ya Sh.380 Mil.huku Timu ya Wananchi YANGA pamoja na makelele mengi wakaingiza Sh.280 Mil.Watanzania Simba ina Watu sio Wananchi.
Hakika itakuwa balaa best.Wananchi ndo first time lakini tumeshine balaa
Je tukifanya mara ya pili.....tuta-perfom wonders
Harafu wanayanga tumebarikiwa huwa hatuongei sana, ni vitendo tuu ndio manatumechukua ubingwa mara nyingiKama kubwa mbona sponsorship deal zenu pesa ndogo? Jersey 600 m miaka miwili..Mo anaichafua Jersey kwa matangazo yake kwa 400m tu mwaka mmoja... Sportpesa tunajua Yanga wanapewa zaidi
Sasa Yanga Sportpesa 1.1B,Taifa gas 1B na GSM Jersey 1.3 B..jumla 3.4B..endeleeni kupiga kelele Yanga masikini