Hongera timu ya watu Simba kwa mapato makubwa uwanja wa taifa

Hongera timu ya watu Simba kwa mapato makubwa uwanja wa taifa

Sasa Yanga Sportpesa 1.1B,Taifa gas 1B na GSM Jersey 1.3 B..jumla 3.4B..endeleeni kupiga kelele Yanga masikini
Lile bakuli la nini Sasa? 😂😂😂
 
Hakika Klabu ya Simba ni kipenzi cha Watu,pamoja na kuhamasisha Simba Day kwa siku 3,sherehe kufanyika siku ya kazi Watu wenye Simba yao wakaujaza Uwanja wa Taifa na kuingiza jumla ya Sh.380 Mil.huku Timu ya Wananchi YANGA pamoja na makelele mengi wakaingiza Sh.280 Mil.Watanzania Simba ina Watu sio Wananchi.
Milioni 300 ni kabla ya kodi au baada ya kodi? Vyovyote iwavyo, hizo ni pesa kidogo mno kwa watu elfu 60.

Vv
 
Back
Top Bottom