Hongera TP Mazembe hongera Mbwana Samatta

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nachukua nafasi hii kuipongeza klabu bingwa afrika kwa mara 5 sasa wana Tp Mazembe ya DRC kwa ushindi huo mgumu hasa kwa bara la Afrika lililosheheni rushwa na kila aina ya ushirikina.

Pia hongera wachezaji wa kitanzania ndani ya Mazembe nawazungumzia Mbwana Samatta na Thomad ulimwengu kweli mnatuwakilisha vema kama watanzania na huenda si muda mrefu mkaipeperusha bendera ya Taifa letu Ulaya.

Hongera samatta kwa kufanya vizuri ktk ufungaji mabao kitu kilichokufanya sasa uonekane zaidi bara afrika na ulaya,hongera sana na Tp Mazembe vizurizipe changamoto timu nyingine kongwe afrika ambazo kila kukicha ni migogoro na hatuoni maendeleo yeyote toka miaka ya 1934 japa sizitaji timu hasa hizi klabu mbili za hapa tanzania angalieni mfano toka Tp Mazembe.
 
Hongera sana samata na Tp mazembe..hata lile la assale ni vile tu samata hakuwa mchoyo.
 

Hongera sana samata na Tp mazembe..hata lile la assale ni vile tu samata hakuwa mchoyo.

Jana kapiga kazi
 
...Samatta top scorer.!!
 
Mm nasikitika sana kumuona Samata kwa kiwango kile akicheza mpira Mazembe wakati ulaya wachezaji wengi wana viwango vya kawaida sana..pitia hata ufaransa,ubelgiji huko ukipata leseni yao ni rahisi kupata timu.Aboutreka wa Misri alipata uchezaji bora wa Afrika kwa kuchukua kombe la klabu bingwa Afrika Naomba iwe ivyo pia kwa Samata.
 
Tanzania vipaji vipo tatizo njaa ndio zinaharibu kila kitu
 
Huyu kijana ni hatari sana ni hazina kwa taifa na anatamiwa kuwa mfano wa kuigwa!
Hongera Samagoal77
 
Yupo vizuri kijana, sio kama hawa wabongo wenzake timu yao ikiwa sare au kuongoza dhidi ya simba au yanga wanaaza kulalalala ovyo utafikiri wabataka wazae badala ya kucheza mpira waonekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…