ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nachukua nafasi hii kuipongeza klabu bingwa afrika kwa mara 5 sasa wana Tp Mazembe ya DRC kwa ushindi huo mgumu hasa kwa bara la Afrika lililosheheni rushwa na kila aina ya ushirikina.
Pia hongera wachezaji wa kitanzania ndani ya Mazembe nawazungumzia Mbwana Samatta na Thomad ulimwengu kweli mnatuwakilisha vema kama watanzania na huenda si muda mrefu mkaipeperusha bendera ya Taifa letu Ulaya.
Hongera samatta kwa kufanya vizuri ktk ufungaji mabao kitu kilichokufanya sasa uonekane zaidi bara afrika na ulaya,hongera sana na Tp Mazembe vizurizipe changamoto timu nyingine kongwe afrika ambazo kila kukicha ni migogoro na hatuoni maendeleo yeyote toka miaka ya 1934 japa sizitaji timu hasa hizi klabu mbili za hapa tanzania angalieni mfano toka Tp Mazembe.