Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwi Kwi Kwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaliaaaa kwikwi ... Walamba asali wameingiaaaa kwikwi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwi Kwi Kwi
Mabehewa yamekaa km majeneza,daah hii nchi sijui lini tutaacha kupigwa.Mabehewa yamekaa kama mkate
Ova
Inawezekana umezungumzia kitu kimoja muhimu sana hapa, lakini kutokana na joto lilivyopanda sasa naona watu wanataka tu kusikia maneno yenye kutaja wizi, kulamba asali, 10% n.k. ukiweza kuongoza bongo hata kwa Wataliban utaongoza vizuri tu...........watu wanajua mnoooooSGR ni daraja la kati la Treni ziendazo kasi!
Fastest train inakwenda 360KMH.
Nadhani iko elimu zaidi ya kutambua hizi technologies..
Na zile Behewa ziko ktka madaraja mbalimbali...
Nakumbuka PM alisema zile behewa ni Daraja la 3...
Halafu singe piece cabin haliwezi kutoa taswira ya muonekano wa Train nzima pamoja na Kichwa chake....
Picha zitatutoa Roho...
Vipi kuna shirika gani ambalo mkurugenzi sio msukuma linafanya vizuri? Vipi TANESCO naye ni msukuma? Vipi TRA naye ni msukuma,TANROAD vipi msukuma pia? maana mashirka yote haya ni utendaji chini ya kiwango!Mkurugenzi msukuma utarajie tupate vitu vizuri kweli
Vipi kuna shirika gani ambalo mkurugenzi sio msukuma linafanya vizuri? Vipi TANESCO naye ni msukuma? Vipi TRA naye ni msukuma,TANROAD vipi msukuma pia? maana mashirka yote haya ni utendaji chini ya kiwango!
Umesahau Samia alisema wataanza na mabehewa na vichwa vha mtumba!
Wewe unakuja kumkebehi Masanja na Wasukuma hapa!
Huu NI ujinga"Kama tumenunua mabehewa mitumba, tuelezwe tuu, Watanzania ni watumiaji wazuri wa vifaa used,"
Mwisho wa kunukuu
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa".
Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRL, nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL
Tulichoelezwa ni hiki
Kwa sisi baadhi yenu, tulioishi nchi za wenzetu, tumepanda treni hizi za kisasa za kasi zinazoendeshwa kwa umeme, bulet trains, ambazo zinakwenda hadi kasi ya speed 160kmh kwa saa!, ila mabehewa ya abiria ya wenzetu tuliyo yapanda, sio kama haya tunayo letewa sisi!, hivyo kwanza natoa hongera sana TRL kwa mabehewa haya.
Kwavile SGR ni reli mpya ya kisasa, je vichwa, mabehewa haya tulioletewa ni mabehewa mapya ya kisasa? Kwa jicho tuu la kawaida, behewa hilo ni lile la kwenda mwendo kasi wa 160kmh?. Naona kama sio!. Kama tumenunua mabehewa mitumba, tuelezwe tuu, Watanzania ni watumiaji wazuri wa vifaa used, na hakuna ubaya wowote kutumia vitu vilivyotumika yaani used au mitumba, Ila kitu muhimu ni kwa Watanzania tuelezwe tuu ukweli! kuwa mabehewa haya ni used, na sio viongozi wetu watueleze tumenunua mabehewa mapya ya kisasa, kumbe ni mabehewa mitumba yaliyo karabatiwa, kupakwa rangi na kufanyiwa nakshi nakshi tuu?.
Hapa ninachokisoma na kinachokanushwa ni vitu viwili tofauti, kwanza Watanzania tunapaswa kuambiwa ukweli
1. Taarifa ya TRC inasema vichwa vipya na mabehewa mapya, lakini ukweli ni kuwa ni vichwa mitumba na mabehewa mitumba ya mwaka '1947'!.
2. Mkataba ni wa ukarabati na kutiwa nakshi nakshi kwa vichwa na mabehewa mitumba!, na sio kuundwa kwa vichwa na mabehewa mapya!.
3. Hakuna ubaya nchi kununua vichwa mitumba na mabehewa mitumba, kitu muhimu ni Watanzania tuelezwe ukweli!.
4. Jee hivyo vichwa viliundwa lini, wapi na vimetumika muda gani kabla sisi hatujauziwa?.
5. Mitumba hiyo imenunuliwa kwa bei gani na inakarabatiwa kwa bei gharama gani?.
5. Tufanyiwe comparative analysis, kama tungenunua vichwa vipya na mabehewa mapya, tungetumia gharama kiasi gani, compared na kununua vichwa mitumba na mabehewa mitumba, ili tujue tumeokoa fedha kiasi gani kwa kununua mitumba hiyo?.
6. Japo gharama za kununua vitu vipya ni juu ila maintance cost ni ndogo, unaweza kununua mitumba kwa bei poa kumbe ni mitumba choka mbaya, hivyo maintenance cost ikawa juu.
7. Sii wengi wanajua kazi ya CAG sio kutoa tuu zile ripoti za hesabu za serikali, CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi, ufhibiti unafanywa kabla ya manunuzi, jee kulifanyika tathmini yoyote rail worthness report ya vichwa mabehewa hayo mitumba kabla hayajanunuliwa?. Then CAG atufanyie value for money audit, msikute mitumba hiyo tumepewa bure, huku watu wakipiga kubwa tunauziwa kwa bei ya mapya!.
8. Ukiingia mkataba wa manunuzi, mzigo ukanunuliwa, delivery ndio ikachelewa, huwezi kuvunja mkataba huo ukabaki salama, hivyo kesi ikifunguliwa, Tanzania tunashindwa hata kabla kesi haijaanza!.
9. Tulivinja mkataba wa Dowans, watu wakajiapisha "over my dead body", tulishitakiwa, tukashindwa, tukadaiwa tukasema hatulipi!, ukweli ni kuwa tumelipa kwa siri, Watanzania hatukuambiwa!.
10. Tulipo vunja mkataba wa Dowans, Zitto akashauri tuitaifishe mitambo ile, Wabunge wetu wakagoma kuwa Tanzania hatununui mitambo mitumba!.
11. Mitambo ile ikanunuliwa na Simbion, tukaingia nao mkataba ule ule wa Dowans tuliovunja, kwa gharama zile zile na tukawalipa!.
12. JPM alipoingia tukavunja mkataba wa Simbion, tukashitakiwa, tukashindwa, JPM akagoma kulipa!, ila baada tuu ya JPM kuitwa kule, huku nyuma, sio tuu tumelipa, bali pia tumeinunua ile mitambo kwa bei ya ajabu!, sasa mitambo ile tuliosema ni mtumba hatununui, sasa ni mali yetu na malipo yote yaliisha fanyika chap chap!, ila Watanzania hatuambiwi!.
Tuambiwe tuu ukweli!.
Paskali.
Kama hajui tu, Magufuli ndio bingwa wa kucheza hii michezo michafu ya upigaji, ununuzi wa mitumba kwa bei ya mpya na ulaghai.Sasa si wangeyakarabati haya yetu hapo veta kuliko kutufanyia usanii.
JPM alikuwa na mapungufu yake meeengi tu ila ktk hili wangemtambua!.