Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

Inawezekana umezungumzia kitu kimoja muhimu sana hapa, lakini kutokana na joto lilivyopanda sasa naona watu wanataka tu kusikia maneno yenye kutaja wizi, kulamba asali, 10% n.k. ukiweza kuongoza bongo hata kwa Wataliban utaongoza vizuri tu...........watu wanajua mnooooo
 
Mkurugenzi msukuma utarajie tupate vitu vizuri kweli
Vipi kuna shirika gani ambalo mkurugenzi sio msukuma linafanya vizuri? Vipi TANESCO naye ni msukuma? Vipi TRA naye ni msukuma,TANROAD vipi msukuma pia? maana mashirka yote haya ni utendaji chini ya kiwango!
Umesahau Samia alisema wataanza na mabehewa na vichwa vha mtumba!
Wewe unakuja kumkebehi Masanja na Wasukuma hapa!
 

Mainzi ukiona yameruka kwenda nje, jua yanaenda kukamilisha deal
 
Yale mabehewa hayafanani kabisa na uzuri wa reli ya SGR, yatafanya hata muonekano mzuri wa reli ya SGR upotee..

Ikibidi serikali itafute hata muwekezaji, imkodishie hiyo reli aje na mabehewa yake ya kisasa kuendana na muonekano wa reli, afanye biashara baada ya muda fulani serikali ichukue, japo pia inawezekana bei ya huduma ikawa kubwa.
 
Wamezingua kinomanoma. Sasa kama walitaka kutuletea treni za namna hii si wangewapa tenda hata SIDO?! Bw. Kadogosa nini kimetokea? Huyu jamaa mwanzo alituonesha treni nzuri kabisa halafu ghafla wakabadili gia angani na kutuletea mzigo tofauti na mategemeo. Mzigo unafanana na ile Deluxe ya sasa😂.
 
Hela za kuhonga wajumbe 2025 zitatoka wapi???? Si unajua wajumbe jinsi walivyo. Nadhani unaelewa.
 
Sasa si wangeyakarabati haya yetu hapo veta kuliko kutufanyia usanii.
JPM alikuwa na mapungufu yake meeengi tu ila ktk hili wangemtambua!.
Kama hajui tu, Magufuli ndio bingwa wa kucheza hii michezo michafu ya upigaji, ununuzi wa mitumba kwa bei ya mpya na ulaghai.

Hivi unakumbuka ile boti (pantoni?) ya mwendokasi (MV Bagamoyo) aliyoinunua Magufuli ili kufanya usafirishaji wa watu kutoka Bagamoyo kuja Dar?

Hivi unajua ile boti ilikuwa ni scraper iliyookotwa kutoka jalala la kutupia meli chakavu huko Asia na kupakwa rangi kisha kuletwa Tz kama meli mpya?

Hivi unajua ile meli ilitua Tz ikiwa imejaa kutu.

Hivi unajua toka inunuliwe haikuwahi kufanya kazi popote zaidi ya kufanya majaribio.

Hivi unajua kwa aibu Magufuli aliamua kwenda kuificha kwenye stoo za jeshi mpaka leo.

CCM ni ile ile.
Samia na Magufuli kwenye upigaji ni wale wale.
 

Itakuwa better ma bus, hakuna haya ya kuwa na technology bila advantage ya technology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…