Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

Hatuna pesa ila pesa ya kumlipa symbion ilikuwepo na kukopa kama kote. Labda Zanzibar wanajiandaa na lao jambo kupitia hii mikopo
 
Jamaniii 😩😩wasukuma
 
Jpm wetu huko uliko unaona haya yanayoendelea? Nina hakika usingetuletea haya ma mitumba, ni mabaya yanafanana na basi za kingi msukuma yaendayo ukerewe na bariadi.

Tumekumiss jpm wetu.
Personal qn. Unasali makanisa yanayoongozwa na "nabii"?
 
mie kimenikera siti za 2 kwa 3 yaan hakuna uhuru hata wa kujitanua! mtu unaenda mwanza umekaa kama gogo kweli? mtuonee huruma jaman
 
Wabongo wanaanglia YouTube train za EMU na hivyo wanekariri kuwa train za kisasa ni EMU tu,najua EMU alipewa tender Huyndai ROTEM na tuliambiwa atatuletea 2024 lakini hatutakua na bullet train kama watu wanavyoangalia youtube na kudhani electric train ni zile bullet train tu πŸ˜‚ tusichanganye mambo.Train za umeme kwa mabehewa kama hayo zipo sana Duniani labda ushamba wetu ndio unatusumbua.
 
Ndugu yangu P umeandika vyema kabisa, mimi sijui kwaninii umepongezaaaa sana wakati hamna chakupongeza hapo, kupongeza ni kwamb umekubaliana na uongo, Tanzania yangu ukweli utafanya wengi watembee kwa miguu, wengii wataacha ofisi zao na kurudi kulima na iyo ndo awataki, kwakuwa wanahusika wamekubali uongo kuwa ukweli sisi tabaka la chini hata kama tunaujua ukweli hatuna pakuu peleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…