Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Embu tudadavulie jinsi walivyokuwa wanahangaika.Ukweli hawa jamaa wamepaniki nikikumbuka juzi na jana walivokua wanatafuta watu hapa Iringa nikasema ni swala la muda tu lazima muondoke.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Hakika Mungu ni mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana.
2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na kukuvua ubunge sasa wanatakiwa kutubu mbele za Mungu na mbele za watanzania.
3. Umemuonyesha Magufuli na waliokuwa wanamdanganya kuwa upinzani umekufa kuwa watanzania sio wajinga. Upinzani upo kwenye fikra za watu. Upinzani hauwezi kuondoka kwa maagizo kutoka juu au kwa kutumia polisi na TISS.
4. Umeweza kuzunguka mikoa kadhaa kutoa elimu ya uraia na umeona jinsi muitikio wa watu ulivyo mkubwa. CCM imechokwa.
5. NEC, Polisi na TISS hawatakutangaza kuwa umeshinda. Ila ukweli utabakia kuwa Magufuli hata akitumia mabavu bado atakuwa sio rais halali wa watanzania. Atakuwa rais halali wa NEC na Polisi ila sio watanzania.
6. Hata kama wakikuzuia kufanya kampeni kuanzia leo bado wataonekana wajinga na waovu. Watanzania wanataka haki na uhuru.
7. Kanda ya ziwa wamemuonyesha magufuli kuwa siasa chafu za ukabila hazitakiwi Tanzania huo ni ujumbe tosha. Kama ana akili timamu atabadilika.
NEC WATANGAZE AU WASIKUTANGAZE BADO UTABAKIA KUWA MSHINDI.
wale waliosema uzikwe ndani ya siku tatu bado hawaamini macho yao.
Nyamongo,Mbulu,Geita,Musoma,Mlimba,Ifakara,Mbeya,Tunduma wakigoma tayari mchezo umekwisha Jiwe jitafakari na hivi kifaransa hakipandi nakuonea hurumaDawa ni kuingia mtaani tukisubiri tume huru hakuna lolote.
Namba 5 sahihisha kidogo..........1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana.
2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na kukuvua ubunge sasa wanatakiwa kutubu mbele za Mungu na mbele za watanzania.
3. Umemuonyesha Magufuli na waliokuwa wanamdanganya kuwa upinzani umekufa kuwa watanzania sio wajinga. Upinzani upo kwenye fikra za watu. Upinzani hauwezi kuondoka kwa maagizo kutoka juu au kwa kutumia polisi na TISS.
4. Umeweza kuzunguka mikoa kadhaa kutoa elimu ya uraia na umeona jinsi muitikio wa watu ulivyo mkubwa. CCM imechokwa.
5. NEC, Polisi na TISS hawatakutangaza kuwa umeshinda. Ila ukweli utabakia kuwa Magufuli hata akitumia mabavu bado atakuwa sio rais halali wa watanzania. Atakuwa rais halali wa NEC na Polisi ila sio watanzania.
6. Hata kama wakikuzuia kufanya kampeni kuanzia leo bado wataonekana wajinga na waovu. Watanzania wanataka haki na uhuru.
7. Kanda ya ziwa wamemuonyesha magufuli kuwa siasa chafu za ukabila hazitakiwi Tanzania huo ni ujumbe tosha. Kama ana akili timamu atabadilika.
NEC WATANGAZE AU WASIKUTANGAZE BADO UTABAKIA KUWA MSHINDI.
wale waliosema uzikwe ndani ya siku tatu bado hawaamini macho yao.
ni jambo la muda mfupi sana mwanangu ila hawaamini badoNyamongo,Mbulu,Geita,Musoma,Mlimba,Ifakara,Mbeya,Tunduma wakigoma tayari mchezo umekwisha Jiwe jitafakari na hivi kifaransa hakipandi nakuonea huruma
Kweli mkuu haya mambo yanaumiza sana. Hawa mashetani ndio huwa wanaenda kanisani na kukaa siti za mbele. Aibu sana kwa kanisa la Tanzania.
Anabwia antistress drugs zenye sifa ya kuwa "First class sodium channel brokers" ndo maana sura inataka kufanana na reptilesMagufuli wa watu hadi anavimba uso kwa kukosa usingizi
Muulize magafool kilimfanya apige magotiRais wa WASAFI. Mmejitahidi sana, wabunge 3, na asilimia 5 za kura za urais
Tundu anaweza kupata kesi ya mauaji akiendelea kumpiga spanaAnabwia antistress drugs zenye sifa ya kuwa "First class sodium channel brokers" ndo maana sura inataka kufanana na reptiles
1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana.
2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na kukuvua ubunge sasa wanatakiwa kutubu mbele za Mungu na mbele za watanzania.
3. Umemuonyesha Magufuli na waliokuwa wanamdanganya kuwa upinzani umekufa kuwa watanzania sio wajinga. Upinzani upo kwenye fikra za watu. Upinzani hauwezi kuondoka kwa maagizo kutoka juu au kwa kutumia polisi na TISS.
4. Umeweza kuzunguka mikoa kadhaa kutoa elimu ya uraia na umeona jinsi muitikio wa watu ulivyo mkubwa. CCM imechokwa.
5. NEC, Polisi na TISS hawatakutangaza kuwa umeshinda. Ila ukweli utabakia kuwa Magufuli hata akitumia mabavu bado atakuwa sio rais halali wa watanzania. Atakuwa rais halali wa NEC na Polisi ila sio watanzania.
6. Hata kama wakikuzuia kufanya kampeni kuanzia leo bado wataonekana wajinga na waovu. Watanzania wanataka haki na uhuru.
7. Kanda ya ziwa wamemuonyesha magufuli kuwa siasa chafu za ukabila hazitakiwi Tanzania huo ni ujumbe tosha. Kama ana akili timamu atabadilika.
NEC WATANGAZE AU WASIKUTANGAZE BADO UTABAKIA KUWA MSHINDI.
wale waliosema uzikwe ndani ya siku tatu bado hawaamini macho yao.
Muulize magafool kilimfanya apige magoti
Hapa nimecheka.Lissu anazeesha sana watu
Kinachotakiwa ni upigaji kura wa haki na huru... na mshindi atangazwe bila shinikizo1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana.
2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na kukuvua ubunge sasa wanatakiwa kutubu mbele za Mungu na mbele za watanzania.
3. Umemuonyesha Magufuli na waliokuwa wanamdanganya kuwa upinzani umekufa kuwa watanzania sio wajinga. Upinzani upo kwenye fikra za watu. Upinzani hauwezi kuondoka kwa maagizo kutoka juu au kwa kutumia polisi na TISS.
4. Umeweza kuzunguka mikoa kadhaa kutoa elimu ya uraia na umeona jinsi muitikio wa watu ulivyo mkubwa. CCM imechokwa.
5. NEC, Polisi na TISS hawatakutangaza kuwa umeshinda. Ila ukweli utabakia kuwa Magufuli hata akitumia mabavu bado atakuwa sio rais halali wa watanzania. Atakuwa rais halali wa NEC na Polisi ila sio watanzania.
6. Hata kama wakikuzuia kufanya kampeni kuanzia leo bado wataonekana wajinga na waovu. Watanzania wanataka haki na uhuru.
7. Kanda ya ziwa wamemuonyesha magufuli kuwa siasa chafu za ukabila hazitakiwi Tanzania huo ni ujumbe tosha. Kama ana akili timamu atabadilika.
NEC WATANGAZE AU WASIKUTANGAZE BADO UTABAKIA KUWA MSHINDI.
wale waliosema uzikwe ndani ya siku tatu bado hawaamini macho yao.
Serious political bussnessNilikuwa sijawahi kumuona Lissu ila juzi nilimuona kumbe jamaa ni mtu simpo sana ila ni mtu ambaye yuko in serious business na anaipenda kazi hapendi utani utani wa mademu kama yule wa upande wa pili, pia nilibahatika kucheza nae goma la Bob Marley One Love
Kneel down pleaseRais wa WASAFI. Mmejitahidi sana, wabunge 3, na asilimia 5 za kura za urais
Na mkutano wa leo mbeya namuona anapiga magoti.Muda si mrefu.Muulize magafool kilimfanya apige magoti
Nilipoona mzee kapiga magoti Njombe jana kweli nimeamini Lissu kamaliza kazi. Apange tu baraza lake la mawaziri 2020-20251. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana.