Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hiyo ndio dua yetu!!! maboresho yasiishie kwenye elimu au majengo,ile biashara ya kujiuza pia iondolewe! na siasa iondolewe pia!Nakipongeza chuo hiki kwa maendeleo na maboresho yanayofanyika kukiwezesha chuo hiki kichanga kiumri lakini kikubwa kwa taaluma.
Binafsi nimejiridhisha kwa elimu ninauoipata hapa.
Matatizo ya wanafunzi hapo ni mengi sn chamcngi wajtaidi kila uchao
*Acha uzushi wako hapa.Kuhusu hilo la kujiuza sio uchunguzi wa kina unatakiwa ufanywe kwa sababu ni kashfa mbaya sana.
Kwa uzoef nlionao japo sijafanya uchunguzi wa kina wadada weng wa dodoma hujifanya wanasoma udom.
Yan wanachukulia uanachuo km cheo au sifa kwao na machangudoa nao hujitambulisha km wanachuo ili wapate soko.
Pia hata wewe kwa akili yako unaweza kufikiria km je?
Mwanachuo anayepokea bum la 7500 kwa siku au hata asie nalo anaweza kujiuza kwa shl 500?