jack chance
Member
- Jul 2, 2009
- 17
- 0
Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni kule kutoa habari bila kuchakachua ukilinganisha na vyombo vya habari vingine. hongera dada!!!