Hongera Uhuru Kenyata

Hongera Uhuru Kenyata

Jamesmkude

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
60
Reaction score
69
IMG-20160907-WA0011.jpg
 
Unaposema taifa liwe la viwanda, unaonyesha kwa mikakati na matendo, sio kukomoana kwa maneno mengi, mikwara na hamaki kila uchao.
Tanzania ya viwanda,imegeuka ya kuwabana wapinzani na wanahabari,nitafutie uraia MK254
 
Unaposema taifa liwe la viwanda, unaonyesha kwa mikakati na matendo, sio kukomoana kwa maneno mengi, mikwara na hamaki kila uchao.
Naona kama haya maneno yana uchochezi hivi.....Au unataka kumjaribu nanihii ....?

shauri yako....
 
Dah.. Bora tutawachangia uchumi kama uganda kwenye nguo
 
Kenyatta ana muda gani wa kuwa rais magufuli ana kwenya urais na ewekezaji wa viwanda upo wa aina nyingi sio lazima tufanane
 
Mkuu hivi utaratibu wa kubadili uraia ili niwe raia wa Kenya ukoje, nimechoka kuwa mtanzania
 
Sahihi, ni watanzania wangapi wana ubavu wa kununua brand new car? Hatuna scheme za hire purchase, nchi imejaa wasanii. creditworthy yetu virtually zero. Ajira hazina hakika, kilimo porojo tupu.
 
Sio lazima. Unaweza fanya citizenship through residence.

Lakini kama jambo hilo ndilo kipendacho moyo, afadhali uwaendee wale wa nyumbani. Hawa wa miji za Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru, nk, watakupora mali.
Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom