chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Nyumbani ni nyumbani,Mkuu hivi utaratibu wa kubadili uraia ili niwe raia wa Kenya ukoje, nimechoka kuwa mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbani ni nyumbani,Mkuu hivi utaratibu wa kubadili uraia ili niwe raia wa Kenya ukoje, nimechoka kuwa mtanzania
hyo ni bonge ya step kwa +254.. kenyA wametuzidi na wataendelea kutuzidi... in terms of airways, bandari, industries na Ngeli 😀😀
pardon, i didn't get you!!Kenyatta ana muda gani wa kuwa rais magufuli ana kwenya urais na ewekezaji wa viwanda upo wa aina nyingi sio lazima tufanane
Hapo kwenye sometimes weka all the time[emoji12]Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Pia inaonekana Mhe Uhuru na Mhe Ruto wana vision njema kwa taifa lao la Kenya kwa ubuni chama kimoja kikubwa which consists of people from all walks of life and tribes, The Jubilee. Ningemshauri Mhe Musyoka na Mhe Wetangula waungane na Jubilee(Uhuru na Ruto) kwani all stars indicate that Jubilee itapata ushindi wa 75% katika kura ra Urais 2017, note if you can not defeat them J O I N them for the betterment of your nation and welfare (waachane na kurukaruka njiani na majukwaani kana kwamba hawana malengo)!! Kudos UhuruRuto.Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Ninavyomwona mh. Uhuru ni mwanasiasa makini, humble na hana mihemko ya itikadi za kivyana ikulu inaonyesha aliipania toka tangu… I remember back 2002Pia inaonekana Mhe Uhuru na Mhe Ruto wana vision njema kwa taifa lao la Kenya kwa ubuni chama kimoja kikubwa which consists of people from all walks of life and tribes, The Jubilee. Ningemshauri Mhe Musyoka na Mhe Wetangula waungane na Jubilee(Uhuru na Ruto) kwani all stars indicate that Jubilee itapata ushindi wa 75% katika kura ra Urais 2017, note if you can not defeat them J O I N them for the betterment of your nation and welfare (waachane na kurukaruka njiani na majukwaani kana kwamba hawana malengo)!! Kudos UhuruRuto.
Hawa jamaa zetu mtaa wa pili huwa nawakubali sana kimya kimya, japo wana shombo sana *****!Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Unaposema taifa liwe la viwanda, unaonyesha kwa mikakati na matendo, sio kukomoana kwa maneno mengi, mikwara na hamaki kila uchao.
Huyu wetu hawezi kitu. kelele tu na ndoto za mchana kama hadithi za Bulicheka na himaya yake ya WAGIGIGIGIGOGU. Hahahaha. Ni sheedaa MwananguSisi tumebakia tu na majungu
Kunywa Tusker lager utaelewa tuuupardon, i didn't get you!!
Wanatuzidi sana sababu wao ni pure capitalist kabla na baada ya uhuru. Wacha waendelee tuSsometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
aisee ongea polepole, unatuumiza mioyo.hahahaUnaposema taifa liwe la viwanda, unaonyesha kwa mikakati na matendo, sio kukomoana kwa maneno mengi, mikwara na hamaki kila uchao.