Hongera Uhuru Kenyata

Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Pia inaonekana Mhe Uhuru na Mhe Ruto wana vision njema kwa taifa lao la Kenya kwa ubuni chama kimoja kikubwa which consists of people from all walks of life and tribes, The Jubilee. Ningemshauri Mhe Musyoka na Mhe Wetangula waungane na Jubilee(Uhuru na Ruto) kwani all stars indicate that Jubilee itapata ushindi wa 75% katika kura ra Urais 2017, note if you can not defeat them J O I N them for the betterment of your nation and welfare (waachane na kurukaruka njiani na majukwaani kana kwamba hawana malengo)!! Kudos UhuruRuto.
 
Ninavyomwona mh. Uhuru ni mwanasiasa makini, humble na hana mihemko ya itikadi za kivyana ikulu inaonyesha aliipania toka tangu… I remember back 2002
 
Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Hawa jamaa zetu mtaa wa pili huwa nawakubali sana kimya kimya, japo wana shombo sana *****!
 
Anafyeka mizizi yaafisadi na wezi ndio viwanda vijengwe
 
Ssometimes tunawabeza wakenya but binafsi nawaona wako very focused na tusipoangalia miaka mitano hii watatutimulia vumbi tuu
Wanatuzidi sana sababu wao ni pure capitalist kabla na baada ya uhuru. Wacha waendelee tu
 
Tunahitaji Amarock na Touareg toka Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…