MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Goli linapokuwa la utata mwamzi ni VAR sasa hiyo ndiyo picha ya VAR ambayo ni screenshooted kuonesha uhalisia kama ilikuwa offside.Una uhakika goli lilikataliwa na VAR?
Jamaa ulitazama Jana live au umeangalia highlights YouTube asubuhi?Goli linapokuwa la utata mwamzi ni VAR sasa hiyo ndiyo picha ya VAR ambayo ni screenshooted kuonesha uhalisia kama ilikuwa offside.
U tube usiku jana.Jamaa ulitazama Jana live au umeangalia highlights YouTube asubuhi?
Hapo sawa hilo goal var ililikubali Mara baada ya linesman kusema ni offside so matokeo ya Jana ni moja moja na hilo ndo lilikuwa goli la kusawazisha kwa arsenalU tube usiku jana.
Na sisi mashabik wa man u ,Magwaya anatupeleka wapiSisi mashabiki wa arsenal Pepe anatupeleka wapi
Nilipata hasira nikazima tv nikaenda kulala baada ya kuona kibendera anasema ni offside nikajua hata VAR imesema hivyo.Hapo sawa hilo goal var ililikubali Mara baada ya linesman kusema ni offside so matokeo ya Jana ni moja moja na hilo ndo lilikuwa goli la kusawazisha kwa arsenal
Utaendelea kuuona mpaka kesho.Mods futeni huu upupu