Hongera uingereza kwa GOAL LINE ila VAR ni ya uongo.

we jamaa fara kweli ivi unakijua ulichokiandika
 
Kiwango chako cha upumbavu hakina mfano, unaandika upumbavu unaweka ushahidi unaodhihirisha upumbavu wako.
 
Nyie ndo mnaotuchelewesha kufika uchumi wa kat
 
Wazee kama hamjawahi kukosea au siyo? Anyway, jana ni ushahidi kua marefa kuboronga siyo Tz pekee. Maguire alikua mbele ya linesman yaani ni kwamba mvunja offside alikua mbele yake yet akasema ni offside.

Sijui aliwaza nini. Mdau mmoja amepoint kua kabla ya var vile ndivyo Man U imekua ikibebwa.
 
Naungana nawe mkono, man utd imetembelea Sana upepo wa marefarii!
 
Goli linapokuwa la utata mwamzi ni VAR sasa hiyo ndiyo picha ya VAR ambayo ni screenshooted kuonesha uhalisia kama ilikuwa offside.

Nani aliyekwambia VAR ni mwamuzi?

VAR haiaalmui chochote katika mpira bali ni Referee ndiye anaeamua.

VAR ni TV tu ambayo referee anakwenda kuliangalia tukio kwa umakini na kujiridhisha yeye mwenyewe kwa jinsi atakavyoliona kwenye hiyo TV (VAR).

Then anaamua kulingana na Mtazamo wake aliouona kwenye TV (VAR) bila ya shinikizo au agizo lolote kutoka kwenye TV (VAR).

Mwisho wa siku tunasema Mwamuzi ni yule mwenye kipenga na sio VAR
 
Ndio maana mi nikishapiga masanga naachana na internet, maana unaweza ukaandika urojo ukiamka siku ya pili unaona noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…