Hongera, ukanda wa Turkana wapatana na serikali jinsi ya kugawana mapato ya mafuta

Hongera, ukanda wa Turkana wapatana na serikali jinsi ya kugawana mapato ya mafuta

Walingoja si waligoja peleka ukikuyu wako!
icho kiswahili chenu cha kuokota okota ndio kinafanya mue watu bure. lafudhi za kiswahili ni tofauti kila mahali na hamna pahali icho chenu cha bongo lala kinatambulika chetu uku kenya ndo chatawala mitandaoni dunia nzima. nenda kaongee uko kinondoni sijui wapi.
 
Hicho kiswahili cha "Kuja hapa", "songa kando" "wajameni" haha Duh!!!
 
Mbona hamsemi ni kiasi gani cha fedha halisi wenyeji wa Turkana watapata? Au kiasi gani Tullow watapata na kwa muda gani?
 
Mbona hamsemi ni kiasi gani cha fedha halisi wemyeji wa Turkana watapata? Au kiasi gani Tulow watapata na kwa muda gani?

Muingie kwenye makubaliano kama hayo na wana Mtwara, gesi hadi leo kwao wanaiskia kwenye magazeti.
 
Building a pipeline for $2bn dollar for Just 700 mln barrels confirmed barrels of crude oil is stupid economics. Most of the oil money will go to oil companies considering the total worth of kenyan oil is just $7bn dollara. The hoima-Tanga pipeline evacuates over 4bn barrels of UG oil plus unconfirmed over 10 bn barrels of Congo oil. Stupid economics by drunkard uhuru, smart economics by JPM
 
Muingie kwenye makubaliano kama hayo na wana Mtwara, gesi hadi leo kwao wanaiskia kwenye magazeti.

Gesi sio kitu rahisi kuchimba kama hayo mafuta ya Turkana ambayo unaweza kuchimba hata kwa jembe. Gesi inatoka kwenye kina kirefu cha bahari, na baada ya hapo isafirishe kuja nchi kavu na kubadilishwa kuwa kwenye mfumo wa maji (liquefied). Waambie hao wanamtwara wakachimbe kama wanaweza.
 
Back
Top Bottom