Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa.
Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa.
Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.