Hongera Uongozi wa Yanga, mapato yataonekana

Yangaa wanaa akili makoye sio hawa mapuyeyee wanalalama njaa wakati wamesaini wenyewe
 
Watz tupo tayar kuuza thamani yetu sababu ya pesa
Viongozi wa Yanga wameonyesha kuwa hawawezi rubuniwa kwa vijisent vya bebari azamtv kwa tamaa ya kuonyeshwa live
Zama hizi mpira ni biashara kama unataka kuonyesha game weka mezani mzigo wa maana sio.unaweka hela mbuzi halaf watu hawaingii ground afu timu inakosa mapato
 
Acheni njaa. Sasa tutaona kama mtawakataza waarabu kuirusha mechi kwa sababu ya njaa zenu?
Urushaji wao hauna athari kwenye mapato ya mlangoni au hilo hulioni ?
Warushe kwao Egypt sio hapa Bongo.
 
Watangaze basi kuwa jama walipata bei gania na azam walipropose bei ngapi?
Tuambie inawezekana jeruri muro unajua
 
Mechi ya Azam na bid ni leo
Mechi ya Bidvest v Azam mbona AzamTV hawakuirusha? Walitaka kuirusha bure, wamezoea vya kunyonga katika VPL, Jamaa waliwaambia wasidhani mpira ni mchezo wa maonesho, ni biashara kamili.
Mechi ya azam na bidvest ni leo na wanaonyesha au mkuu kwako ilichezwa jana sababu ndo wako half time. Na sidhani walitaka bure we ulikuwa kwenye kikao cha negotiations au ni hear saying. Kama ulikuwa kwenye kikao kilifanyika wapi na akina nani waliwakilisha each part
 
Nimeipenda hizi' salsa Yanga timu yangu inajitenga kuwa ya wana DSM pekee. Sisi wapenzi wa Mwamadulu Shinyanga hatuioni tena. Ngoja tujikite EPL
 
Hii sio mechi ya kirafiki. Club haina mamlaka ya kuamua ionyeshwe kwente tv au la. Ni uvivu wa kujiongeza wa tff na tff kuwalamba miguu yanga
 
Hii sio mechi ya kirafiki. Club haina mamlaka ya kuamua ionyeshwe kwente tv au la. Ni uvivu wa kujiongeza wa tff na tff kuwalamba miguu yanga
TFF haina mamlaka hayo. Huo ni uamuzi wa timu husika. Kwani TFF wanatoa kiasi kusaidia timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa? Eneo la kujidai la TFF ni timu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…