Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urushaji wao hauna athari kwenye mapato ya mlangoni au hilo hulioni ?Acheni njaa. Sasa tutaona kama mtawakataza waarabu kuirusha mechi kwa sababu ya njaa zenu?
Hay kwa njaa zenu jana mmepata shs ngapi?Urushaji wao hauna athari kwenye mapato ya mlangoni au hilo hulioni ?
Warushe kwao Egypt sio hapa Bongo.
Watangaze basi kuwa jama walipata bei gania na azam walipropose bei ngapi?Watz tupo tayar kuuza thamani yetu sababu ya pesa
Viongozi wa Yanga wameonyesha kuwa hawawezi rubuniwa kwa vijisent vya bebari azamtv kwa tamaa ya kuonyeshwa live
Zama hizi mpira ni biashara kama unataka kuonyesha game weka mezani mzigo wa maana sio.unaweka hela mbuzi halaf watu hawaingii ground afu timu inakosa mapato
Mechi ya azam na bidvest ni leo na wanaonyesha au mkuu kwako ilichezwa jana sababu ndo wako half time. Na sidhani walitaka bure we ulikuwa kwenye kikao cha negotiations au ni hear saying. Kama ulikuwa kwenye kikao kilifanyika wapi na akina nani waliwakilisha each partMechi ya Bidvest v Azam mbona AzamTV hawakuirusha? Walitaka kuirusha bure, wamezoea vya kunyonga katika VPL, Jamaa waliwaambia wasidhani mpira ni mchezo wa maonesho, ni biashara kamili.
Mara mbili ya hela ya Okwi. Mmeishalipana madeni?Hay kwa njaa zenu jana mmepata shs ngapi?
TFF haina mamlaka hayo. Huo ni uamuzi wa timu husika. Kwani TFF wanatoa kiasi kusaidia timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa? Eneo la kujidai la TFF ni timu ya taifa.Hii sio mechi ya kirafiki. Club haina mamlaka ya kuamua ionyeshwe kwente tv au la. Ni uvivu wa kujiongeza wa tff na tff kuwalamba miguu yanga
duh bro!..[emoji15] [emoji15] [emoji15] hii lugha gan!Watangaze basi kuwa jama walipata bei gania na azam walipropose bei ngapi?
Tuambie inawezekana jeruri muro unajua
Kaka simu mpya iphone SEduh bro!..[emoji15] [emoji15] [emoji15] hii lugha gan!
[emoji3] [emoji3]Kaka simu mpya iphone SE