Hongera Vanessa Mdee

Hongera Vanessa Mdee

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Kama mdau wa muziki nimekuona nikimuangalia huyu mwanadada tangu alipotoa ile Come over nikaona ana kitu. Jana nikiwa katika page ya nako 2 nako niliona wametoa wimbo mpya na kuutazama lazima uzame boomplay ndipo nilipojitosa kuuchek, lkn nikiwa kule nikaona album ya money mondeys ndo nikaona niisikilize. Aisee huyu Dada kaimba. Nimependa hasa ule wimbo alioimba na Gnako unaitwa Wet. Nitauweka hapa soon. Kuna ule kaimba na Joh, mwingine Reekado banks na mwingine yupo na Mohombi. Kiukweli kaimba vizuri. Nyimbo zina quality kama za mbele, watu wengi wame-view na ku-comment. aiseee kafanya mapinduzi makubwa sana ya albam. Wasanii wengine igeni huu mfano. Hongera sana Vannesa Mdee
 
Afikie albamu za dudubaya aka oil chafu then ndo tutaanza kumpongeza
 
Mapinduzi ya Filamu au mziki? mkuu
 
Tatizo la Vannesa ni "Beyonce wanna be" hua naona tabu sana kuwasikiliza watu wa aina yake naona bora nimsikilize Beyonce mwenyewe.
 
Mbona kama promo hivi? Anyway, dada anaweza!
 
Back
Top Bottom