kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Kama mdau wa muziki nimekuona nikimuangalia huyu mwanadada tangu alipotoa ile Come over nikaona ana kitu. Jana nikiwa katika page ya nako 2 nako niliona wametoa wimbo mpya na kuutazama lazima uzame boomplay ndipo nilipojitosa kuuchek, lkn nikiwa kule nikaona album ya money mondeys ndo nikaona niisikilize. Aisee huyu Dada kaimba. Nimependa hasa ule wimbo alioimba na Gnako unaitwa Wet. Nitauweka hapa soon. Kuna ule kaimba na Joh, mwingine Reekado banks na mwingine yupo na Mohombi. Kiukweli kaimba vizuri. Nyimbo zina quality kama za mbele, watu wengi wame-view na ku-comment. aiseee kafanya mapinduzi makubwa sana ya albam. Wasanii wengine igeni huu mfano. Hongera sana Vannesa Mdee