Kweli?!
ndio nimeanza, unaweza pia kujisajili kwenye developer portal yao hapa M-Pesa Developer PortalWw ushaanza tayari?
API = Application Programming Interface, ni mfumo ambao unawezesha mifumo tofauti tofauti kuweza kushirikisha taarifa na kufanya kazi pamoja,Since the forum inatembelewa na watu wengi na wengine hata sio wajuzi wa tech terms kiviile, kwa niaba ya ma layman wenzangu naomba niulize kwani whst's API?
Waanze na ku link M-Pesa na Skrill/Paypal. mtu aweze kutuma pesa na kupokea pesaKatika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.
Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
kabisa asee[emoji16]Mkiweza kulink skrill na Mpesa basi developers wa bongo mtakua mmecheza kama pele
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kama una moyo mkuu programming sio ngumu ila inahitaji muda mwingi sanaBasi tengenezeni software ya kupokea pesa kutoka PayPal to mpesa Tanzania napenda programming ila naona ngumu sijui nianzie wapi
Tutafaidikaje hapo?Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.
Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
Hapa developer ananufaikajeMkiweza kulink skrill na Mpesa basi developers wa bongo mtakua mmecheza kama pele
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mimi sjajua atanufaikaje..ila najua watumiaji watanufaika sanaHapa developer ananufaikaje
Mnakaa na skril na vodacom mnashea zile charges kwakila muamala kwasababu wewe umeweza kumiliki kiunganishio kati ya skril, mpesa na mteja anayefanya miamala hiyo.Hapa developer ananufaikaje