thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Mwanaume hakimbii, kukimbia kimbia ni umama [emoji2]Haya bro, tunakuja Kili marathon mwakani, tatizo Wakenya hunyakua ushindi kuanzia namba moja hadi kumi, tena kwenye nchi yenu, Waswahili hamkimbii.