Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Ni kweli....

una roho ngumu sana

una support maelezo ya kiranga kwa aibu, haujamuelewa

so mlijua mtashindwa?? mngeitisha baraza kuu kabla ya kesi kuamuliwa

Ben saa 8, unahusika kumpiga mwanachadema mwenzio wa Temeke
 
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema

Si kweli mbona kesi zote za CHADEMA Arusha huwa anashughulikia huyu?
 
Albert Msando hajashinda lolote, hata yeye anajua! Walioshinda ni CCM waliomwambia akafungue kesi, watafanya yaliyosalia. Hii siyo siri! Hata jiwe lingekuwa wakili, lingeshinda! The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! However, freedom for the Judiciary is coming! Kila lenye mwanzo lina mwisho! It is just a matter of time!

Huu ndio ukweli wenyewe.....wenye kufahamu mambo yalivyo wamekaa kimya, ila huu ndio ukweli wa issue yote.
 
Watu bana!

Yaani hii nayo ni kesi ya kumpandisha mtu chati?

Wengine tokea awali tulishaona kulikuwa hakuna kesi yoyote hapo. Hata kama Zitto angejitetea mwenyewe angepata tu huo 'ushindi' anaodaiwa kuupata.

Lakini kwa vile baadhi ya watu wanasukumwa na hisia zaidi, misukumo hiyo ya hisia imeghubika kabisa uwezo wao wa kutafakari mambo kwa kutumia akili/ vichwa vyao.

Wengine tulishangaa hata kwa nini hiyo kesi ilichukua muda ambao ilichukua. Ingekuwa mimi ndo hakimu/jaji hii ingemalizwa siku ile ile ya kwanza tu.

Sasa shauri jepesi kama hilo eti nalo ndo la kumpadisha mtu chati! Mna viwango vya chini kweli nyie watu.
 
...."Miafrika Ndivyo Tulivyo"....
 
...."Miafrika Ndivyo Tulivyo"....

You got that right.

Watu wanavyompandisha chati huyo Msando utadhani alikuwa anamtetea mteja wake katika 'trial of the century' ala Johnnie Cochran.
 
Hili saga litatufikisha hadi kwenye uchaguzi ujao,wabunge wa mahakama wanazidi kuongezeka.Vyama vina udhaifu mkubwa,havina demokrasia ya kweli.Natumai wagombea huru watakuwa wengi baada ya katiba mpya
 
You got that right.

Watu wanavyompandisha chati huyo Msando utadhani alikuwa anamtetea mteja wake katika 'trial of the century' ala Johnnie Cochran.
Hii kesi hata ungepewa umtetee Zitto ungeshinda,tatizo watu wanaendekeza ushabiki wanasahau facts.Kibaya zaidi ilikuwa vita ya Chadema vs Chadema lakini still wanachama wa Chadema wanaona wameonewa
 
Hapo sioni alichokifanya huyu wakili unayempigia kelele. Hata bila Wakili kikesi cha zuio angeweza kukifanya mwenyewe zito na kujitetea. Mbona mtu yoyote anaweza kuweka zuio la mahakama hata bila kuwa mwanasheria mradi una hoja ya msingi. Na hoja ya msingi kwa zito ni ile ya kuzuia CC isimtimue mpaka appeal yake itakapokuwa imesikilizwa na Baraza Kuu

Zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!

Tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao wanachanganya sheria according to jk.

maliza shughuli ndani njoo nje tukubebe mpaka kokote uendako.

Msando noooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

kweli leo nimeamini maneno ya jk kwamba lissu anachanganya sheria. hajui hata jambo dogo kwamba wakili hawezi pia kuwa shahidi.
 
He's well known to legal, political and bussiness circles.

Kuna watu walikuwa wanajitahidi sana kuja hapa Jf na trash talk kuhusu utendaji wa kazi zake.

Waulize hao kwenye picha wanafahamu vizuri kazi zake ndani ya CHADEMA.

Mapambano bado yanaendelea......

1.jpg

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema wakitoka kwenye kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha baada ya kujisalimisha na kuhojiwa kushoto ni wakili wao Albert Msando na kulia ni mbunge wa Musoma Mjini,Vincent Nyerere

Ha h haha hii picha nimeipenda sana
 
Back
Top Bottom