Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Ni kweli....

una roho ngumu sana

una support maelezo ya kiranga kwa aibu, haujamuelewa

so mlijua mtashindwa?? mngeitisha baraza kuu kabla ya kesi kuamuliwa

Ben saa 8, unahusika kumpiga mwanachadema mwenzio wa Temeke
 

Si kweli mbona kesi zote za CHADEMA Arusha huwa anashughulikia huyu?
 

Huu ndio ukweli wenyewe.....wenye kufahamu mambo yalivyo wamekaa kimya, ila huu ndio ukweli wa issue yote.
 
Watu bana!

Yaani hii nayo ni kesi ya kumpandisha mtu chati?

Wengine tokea awali tulishaona kulikuwa hakuna kesi yoyote hapo. Hata kama Zitto angejitetea mwenyewe angepata tu huo 'ushindi' anaodaiwa kuupata.

Lakini kwa vile baadhi ya watu wanasukumwa na hisia zaidi, misukumo hiyo ya hisia imeghubika kabisa uwezo wao wa kutafakari mambo kwa kutumia akili/ vichwa vyao.

Wengine tulishangaa hata kwa nini hiyo kesi ilichukua muda ambao ilichukua. Ingekuwa mimi ndo hakimu/jaji hii ingemalizwa siku ile ile ya kwanza tu.

Sasa shauri jepesi kama hilo eti nalo ndo la kumpadisha mtu chati! Mna viwango vya chini kweli nyie watu.
 

...."Miafrika Ndivyo Tulivyo"....
 
...."Miafrika Ndivyo Tulivyo"....

You got that right.

Watu wanavyompandisha chati huyo Msando utadhani alikuwa anamtetea mteja wake katika 'trial of the century' ala Johnnie Cochran.
 
Hili saga litatufikisha hadi kwenye uchaguzi ujao,wabunge wa mahakama wanazidi kuongezeka.Vyama vina udhaifu mkubwa,havina demokrasia ya kweli.Natumai wagombea huru watakuwa wengi baada ya katiba mpya
 
You got that right.

Watu wanavyompandisha chati huyo Msando utadhani alikuwa anamtetea mteja wake katika 'trial of the century' ala Johnnie Cochran.
Hii kesi hata ungepewa umtetee Zitto ungeshinda,tatizo watu wanaendekeza ushabiki wanasahau facts.Kibaya zaidi ilikuwa vita ya Chadema vs Chadema lakini still wanachama wa Chadema wanaona wameonewa
 
Hapo sioni alichokifanya huyu wakili unayempigia kelele. Hata bila Wakili kikesi cha zuio angeweza kukifanya mwenyewe zito na kujitetea. Mbona mtu yoyote anaweza kuweka zuio la mahakama hata bila kuwa mwanasheria mradi una hoja ya msingi. Na hoja ya msingi kwa zito ni ile ya kuzuia CC isimtimue mpaka appeal yake itakapokuwa imesikilizwa na Baraza Kuu

 

Ha h haha hii picha nimeipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…