Kama ado unaendelea umeleta post yanini?Bado naendelea, Nimepiga kambi hapa!
SAITAAAH
kweli wambulu wengi hawapendi kuitwa ivoMleta post,
Kwanza elewa hakuna kabila linaloitwa wambulu,
Wakazi wamanyara kabila lao linaitwa WAIRAQ.
Kama kweli umefanya utafiti,wazee wa wenye asiri ya Manyara wangekuambia.Mbulu ni eneo na si kabila.
Jipange upya.
Sawa.Endelea tu ila umetuolea sisi wanamtaa wenzio!
Sawa.Msiwe na wivu maana nikushika mkono tu hata hela hawatakagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Ukitongoza mbulu akakataa kaondoe mikosi kwa kuchinja mbuzi jike.
Sawakweli wambulu wengi hawapendi kuitwa ivo