Hongera Wana Manyara

Hongera Wana Manyara

Mleta post,
Kwanza elewa hakuna kabila linaloitwa wambulu,
Wakazi wamanyara kabila lao linaitwa WAIRAQ.
Kama kweli umefanya utafiti,wazee wa wenye asiri ya Manyara wangekuambia.Mbulu ni eneo na si kabila.
Jipange upya.
kweli wambulu wengi hawapendi kuitwa ivo
 
sasa kama kuna jamii ishu ya kubanjua hakuna wivu,huu wivu umetoka wapi ukifumaniwa na mke wa mtu lazima uchezee kichapo?
 
sasa kama kuna jamii ishu ya kubanjua hakuna wivu,huu wivu umetoka wapi ukifumaniwa na mke wa mtu lazima uchezee kichapo?
 
Back
Top Bottom