Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
- Thread starter
- #41
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji12]Namiona hadi Mke wa Obama kumbe yupo huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji12]Namiona hadi Mke wa Obama kumbe yupo huku
Kweli Mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona kama unamtisha![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wew Hujasikiaaa hao ni wanaume mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu ndoto zangu ni kuoa member humu
the great
Anaweza kumfuga hadi MtuHiyo ya mfuga mbuzi iko poa sana.
Inaonesha ni mfugaji mzuri sana
Mkuu pambana tu kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu ndoto zangu ni kuoa member humu
the great
Juu sana.....
Sio kwamba msitupe sifa. Namaanisha wasitusakame na avatar tulizoziweka kama ni nzuri tupeni tu sifa kwa niaba.
Sisi ni wanaumeee? Kumradhi mkuu na ashakum si matusi.Wew Hujasikiaaa hao ni wanaume mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kwahyo Hiyo Avatar siyo weweSio kwamba msitupe sifa. Namaanisha wasitusakame na avatar tulizozoweka kama ni nzuri tupeni tu sifa kwa niaba.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na Zisizo epukikaHawawezi kuonekana hapa kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wao...
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mkuu pambana tu kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ah wapi mie nafanania na Remi Ongala
Mumy sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu asubuhi hii. Lol.Ah wapi mie nafanania na Remi Ongala
Kwani wewe ni mjukuu wake???Ah wapi mie nafanania na Remi Ongala
Ndiyo nilijua wewe mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe kuandika kote huko unajua ni mie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1]Mumy sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu asubuhi hii. Lol.