Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
- Thread starter
-
- #121
[emoji30] [emoji30] [emoji30] umeshangaa kama mimiAISEE!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 546432
Karibu humu jf na uzi mwingine unaotuhusu warembo wa jf. [emoji124] [emoji124]
Heeeh ndo hivo kumbeWapi tena swahiba au humu humu. Teh teh
Tutafanyaje swahiba waache tu wasifie vivulii. [emoji125] [emoji125]
Duh nahisi wewe ni mcheshi sanaMmh. Haya ahsante Mangi.
Ila ukiniona sidhani kama hutanikimbia kwa jinsi nilivyo.
Ok sawa Jamaasijasema wote..wengine hapo ni tofauti kabisa na walivyo in real life Take it from me
Kweli kabisa hujakosea mkuu.
DuhKwa taarifa yako wengi wa hao unaowaita warembo wa Jamii forum hawatumii picha zao halisi. Wanafoji mpaka picha
Kabisa mkuu. Yani mimi najua hao ni watoto wakali sana
Sirudii tena maana members wengine wananipa matusi pasipo sababuKaribu humu jf na uzi mwingine unaotuhusu warembo wa jf. [emoji124] [emoji124]
Wanapenda tu makuu hao.
Ni kweli emmyta ila mimi nawapuuza tuWanapenda tu makuu hao.
Pole sana ila usisahau humu tuko watu wa aina mbalimbali kuna ambao jambo dogo kwao linakuwa kubwa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh kweli natamani natamani ningekuwa mdogo wakoKweli kabisa hujakosea mkuu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ila ya......... Mengi mkuu tuwaachie wenyeweKabisa mkuu. Yani mimi najua hao ni watoto wakali sana
Lakini ni hatari sana