Hongera warembo wa JamiiForums

Hongera warembo wa JamiiForums

Nisipokupenda pacha ina maana nam sijipendi hahaha lazima umpende pacha wako, kama ulikuwepo nimevunga nmetoka bila sweta kuingia ofisini nahisi baridi
Ahsante sana kwa kunipenda pacha. [emoji120]

Pole na baridi pacha ila kukichangamka nina imani utakaa sawa.
 
MBWIGA.jpg
 
Yani kumbe upo humu kufuatilia warembo shame on you
 
Kwa taarifa yako wengi wa hao unaowaita warembo wa Jamii forum hawatumii picha zao halisi. Wanafoji mpaka picha
 
Back
Top Bottom