Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kumbe huna huruma weyee. Basi ziandae tu mumy hizo spare mana ziko mbioni. [emoji23]Na bahati nzuri spea ninazo acha tu zivunjike mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huna huruma weyee. Basi ziandae tu mumy hizo spare mana ziko mbioni. [emoji23]Na bahati nzuri spea ninazo acha tu zivunjike mwaya
Mkuu watakwambia na Huyo ni mwanaumeWewe nipe wasfu wa Shunie humu maana huyu roho yangu umzimikia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
sitaki tu
Waeleweshe MkuuNaona watu hawataki kuelewa kile mleta uzi anachomaanisha!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
kuna malipo?
Kweli au utani..[emoji86] [emoji86] [emoji86]Kumbuka pia humo humo kuna Id za kiume zinatumia majina hayo.
Isipokuwa ya nani mkuuID za ku download ndo zinaku-drive crazy sasa wangeweka za kwao alisia ungekuja na uzi mwingine.
nyingi ya hizo hapo zimepakulia kwenye porn hub isipokuwa ya mmoja tu
Mzee wa fyoko uhakika au unazinguaAisee hapo wote wanaume kasoro mmoja utakuja liwa kiboga
Baharia hamna utani hapoKweli au utani..[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Hiyo midume inataka masela au vipiBaharia hamna utani hapo