DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,937
Walisema tuna Vibamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisema tuna Vibamia
Mate yananitoka tu hapaNimejiunga rasmi jamii forum mwaka mmja uliopita duh aseeee nimegundua humu kuna warembo asikwambie mtu duh ila sina hata mmja kati ya Warembo wote humu
Ila sio kesi Jamaa angu leo nakuletea compilation ya warembo toka jamiii forum sio wote ila hawa ni miongoni mwao
NB...............kwa hisani ya Avatar zaoo na michango au mawazo yaoo
Karibu uwape sifa zao hawa warembo wetu Duhhh
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
![]()
Fikra za nini?
Eti ee. Basi sawa mkuuYani huwa nahusianisha uzuri wa avatar na mtu mwenyewe na kile anachochangia maranyingi huwa vinaendana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Walisema tuna Vibamia
Hivi ni kweli Mkuu???Yani huwa nahusianisha uzuri wa avatar na mtu mwenyewe na kile anachochangia maranyingi huwa vinaendana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio[emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yq wahenga[emoji102]
Hahahahha duh aiseeeManeno yq wahenga
ID za ku download ndo zinaku-drive crazy sasa wangeweka za kwao alisia ungekuja na uzi mwingine.
nyingi ya hizo hapo zimepakulia kwenye porn hub isipokuwa ya mmoja tu
Mkuu hamna tangazo baya kimbembe huwa badhaa yenyeweYa nani ni harisi nimpe bando la mwezi! mimi nachukulia wengi wanapenda kuwa hivyo au wanakaribia kuwa hivyo.
Nalipa dada we kunywa tuAhsante dada ake. Nshaagiza miee.