Hongera Watanzania kwa kuamua wenyewe kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Wao wenyewe washaanza kushtuka[emoji2][emoji2]
 
Tema mate chini.

Sema ahsante Mungu kwa kunieupusha na korona. Huku ukiendelea kuchukua tahadhari.
Korona ni vijamafua ambavyo kila kipindi cha mvua kitakuwa kinaibuka na kupotea kiangazi, ni homa ambazo nishaziugua kwa misimu miwili sasa 19/20 na 20/21 hadi mtoto wng wa miaka 2 kapata hizi homa za korona na tumepona tu kwa parasentamo
 
Your brain has stoped to work may be try to use your ass to think
Wapumbavu kama wewe mtavaa sana barakoa na hakuna chochote mtakachoweza kubadili, hizo homa za korona zitaendelea kuwepo kwa karne so mnapaswa kujifunza kuishi na nazo
 
Msiba soon utatokea kwenye familia yenu ndio utajua kama hayo mafua yapoje soon
Ktk jamii yangu misiba ilikuwepo hata kabla ya hivi vijimafua na haitaisha Leo, so endapo ktk familia yangu tutapata msiba naamini itakuwa si Sababu ya hivyo vijimafua visivyo na madhara yeyote
 
Kuna jamaa mmoja akihutubia hii nchi, mpaka unajiuliza hivi huyu hiyo nafasi aliipataje?

He is the one worst leader ever seen in the history of the universe.
Kweli mkuu mda mwingine anakosea sanaa ,sisi hatujawah kutengeneza chanjo hata moja ,Leo anaponda chanjo za wenyew wakati mpaka sasa wajawazito wanapewa chanjo za kuwakinga watoto kutoka kwa hao hao wazungu


Tukiamua kukataa chanjo tukatae zote za mifugo na binadamu ,afuu tuingie kazini kuunda vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…